Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

raisi jakaya kikwete aepewa mamlaka kama mungu wetu watz hatukubali
ww bibi celina kombani na mama sokwe(makinda) wote tutawachapa viboko
pumbavu mswaada gani huu lwani jk ni mungu wetu


Raisi huyu huyu? anaewabembeleza mafisadi warudishe hela? anaeona hatuwezi bali kwa misaada ya wahisani? anaehusudu kucheka? sasaaaa, dah! sijui nianzaje, hawa sisiem hawakuona haja ya kubadili katiba na mwanasheria mkuu na huyu mama Kombani mwanzoni walitangaza hadharani hakuna matatizo kwenye katiba na sasa wanampa pande la kuchagua wasimamizi na kupelekewa majibu ya mchakato aamue mazuri na mabaya, duh! ni mwaka mmoja tuu tangu uchaguzi mkuu umepita na matatizo, malumbano maandamano nguvu kubwa ya dola(polisi) kupambana na raia huku serekali yake ikilaumiwa kila kona ndio wanampa mpini kwenye hili? Hakika hatupaswi kuangalia haya na kukubali maana kwa uwingi wa sisiem wananafasi kubwa wa kulipeleka hili kinyume na maoni ya raia wengi maana hili si la kivyama tunahitaji tulijadili kwa mapana zaifi kitaifa na tue na uwazi zaidi wa maamuzi kitaifa. watanzania tujitahidi kusimamia hili kwa uzalendo wa kitaifa tusiwaachie hawa viongozi maana wameshatuingiza mikenge kibao kwa kuwaamini huko nyuma.
 
bibi kiriboto sura kama sokwe anakataa muongozo wa spika huyu mama nikionana nae macho kwa macho nitachinja wacha nile ban maana nakera mjinga sana huyu mama
Majanikv, nawaombeni tutumie lugha za staha ili kulinda hadhi ya jf. Kila baada ya hoja muhimu, wengi huja jf kupata maoni ya wanajf, sasa wakikuta matusi, matukana na lugha zisizo staha, kutatufanya wote humu tuonekane hatuna maana.
 
wakuu! kuna jinsi yoyote naweza ingia ikulu kesho! nahitaji kujitoa mhanga,better nife na mtu huu ni ukilaza sasa...
 
huyu pindi chana sijui hasara sijui hazara hivi ni kimada wa nani, isije ikawa mzee wa GOMBE! hahaaaa anajidai anasifiaaaa hicho kitume cha katiba mbofumbofu! serikali legelege na mibunge hovyoooooooo! LONG LIVE TANGANYIKA!
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahaha yaani umenichekesha sanaaaaa na kunikumbusha mbali sanaaaa
 
wakuu! kuna jinsi yoyote naweza ingia ikulu kesho! nahitaji kujitoa mhanga,better nife na mtu huu ni ukilaza sasa...

Rahisi tu, chukua gari nenda hadi pale Wizara ya Elime pinda kushoto fuata zile bustani utakua umefika, wale askari wapelekee bangi ana pombe na posho kidogo tu
 
Kupata jina lenyewe la rasimu wa muswada wa katiba ilikua kazi je kuunda katiba yenye si itakua more than complex
 
hakika nawambieni tusipofia katiba ipo siku magamba watataka kutukameruni tutasema ndio,,,real am telling you
 
bibi celina kombani na mama sokwe(makinda)

mmh! Mh!

Chitemo, heshima kitu cha bure!. Kila neno unalomwambia mwenzio, kwanza assume ndio anaambiwa mama yako!.

Tumbeze yoyote kwa hoja na sio kwa maumbile!. Huyu japo sio mama wa kikazaa, ana hadhi ya mzazi sawa sawa na mama yako!.
 
Huyu Ke anayesoma hotuba kwa mbwembwe ananikera sasa. Anasoma utafikiri anasoma ngonjera. Hivi ni nani huyu?
 
huyu mama mbona anajiamini sanaaa! ni nani wakuu,mwageni details zake...
 
Huyu binti anaesoma naona ana bonge la mdadi!!! Sijui kalewa!!
 
Back
Top Bottom