Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

huyu mama anayeongea si zao la viti maalumu eeh ndo maana kaaza kumsifia kikwete
sasa ni bora tufute viti maalumu kabisa
natamani kutapika
 
Feizafox, MS, rtz na the like wako wapi kwenye huu mswada? Mbona hawachangii??!
 
huyu mama anayeongea si zao la viti maalumu eeh ndo maana kaaza kumsifia kikwete
sasa ni bora tufute viti maalumu kabisa
natamani kutapika

Yaani mmeshamsahau? Huyu si ndio yuko kwenye kambi ya yule jamaa yule anasadikika kuutaka ukaka mkuu?
 
HADITHI inayokuja ni ya sungura sikia, hadithi uliyongoja leo ninakuletea
Alitoka siku moja njaa aliposikia, njaa aliposikia, sungura nakuambia
Siku hiyo akaenda porini kutembelea, akayaona matunda mtini yameenea
Sungura karuka ruka lakini hakufikia, lakini hakufikia sungura nakuambia
Sizitaki mbichi hizi sungura aligumia, naona nafanya kazi bila faida kujua

318693_229421357125520_100001729730344_636915_1619597013_n.jpg

Mkuu umeniacha hoi kwa hii kitu maana nimekumbuka mbali sanaaaaaaaaaaaa
 
Huyu demu anaesoma kwa mbwembwe hivyo ni yupi huyu? Ndio yule Pindi Chani ambaye......yule Mheshimiwa fulani anadaiwa ku....
Siyo demu ni lady na ni mrs. Msomi wa masters ya sheria na ni kichwa cha ukweli. yuko NEC na CC ya CCM for more than ten years.

Kosa lake linalomfanya asipate uwaziri au teuzi za ulaji ni anasimama sana mguu sawa!. Hataki kabisa kujikomba komba au kukaa mguu upande!.

Huyu mama ndie angepaswa kuwa Waziri wa Sheria!.
 
baraza la katiba tangazeni maandamo nikachukue likizo kazini tuchukue nchi yetu!
 
Naona watu mnauponda mswaada wa katiba lakini hamsemi mapungufu yake, wapi parekebishwe kwanza kabla ya kupitishwa. Hebu kuweni wawazi jamani ni wapi huu muswaada unamaupungufu?
 
Ninajua kila mtu ana haki ya kuongea ,lakini ukweli ni kwamba ushabiki usio na mantiki utaliangamiza hili taifa,hivi jkila kitu maandamano,kila kitu maandamano,nipeni sababu kuu za msingi as to why the bill should not be read for the second time,haiwezekani mawazo ya mtu au kikundi cha watu kiiyumbishe serikali ya JK,jana kwa aliyeangalia kile kipindi cha mjadala wa katiba,utagundua upuuzi mtupu,ni kweli watu wanaongea kutoa hisia lakini wengi walipangwa waseme nini,tusidanganyane hapa,hakuna mtu mwenye haki zaidi ya mwenzake kwenye hili taifa,msitaki kumtisha Rais hapa,kama mna hoja embu itisheni maandamano na natoa wito polisi waziyazuie tuone idadai ya wataka waunga mkono,kila kitu maandamano,wengine kazi hawafanyi utasikia maandamano,Upuuzi mtupu
 
Siyo demu ni lady na ni mrs. Msomi wa masters ya sheria na ni kichwa cha ukweli. yuko NEC na CC ya CCM for more than ten years.

Kosa lake linalomfanya asipate uwaziri au teuzi za ulaji ni anasimama sana mguu sawa!. Hataki kabisa kujikomba komba au kukaa mguu upande!.

Huyu mama ndie angepaswa kuwa Waziri wa Sheria!.

Basi Mpwa nimekusoma uzuri kumbe ni Mama! Nawaheshimu sana akina Mama, hongera zake ila yule aliepita mmmmhh kawadhalilisha akina Mama wengine pamoja na huy
 
Siyo demu ni lady na ni mrs. Msomi wa masters ya sheria na ni kichwa cha ukweli. yuko NEC na CC ya CCM for more than ten years.

Kosa lake linalomfanya asipate uwaziri au teuzi za ulaji ni anasimama sana mguu sawa!. Hataki kabisa kujikomba komba au kukaa mguu upande!.

Huyu mama ndie angepaswa kuwa Waziri wa Sheria!.

Nashukuru hakuupata huo uwaziri wa sheria. Nafikiri ana kiburi kuliko huyo waziri Kombania, I mean kombani
 
Back
Top Bottom