Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Mbunge wa cuf aanza kwa kupongeza muswada na serikari ya ccm kwa kuleta muswada mpya anapendekeza rais kupewa madaraka makubwa anapinga mapendekezo ya kambi ya upinzani
 
Huyu Mbunge wa CUF nae anaongea upupu tu anazungumzia ubwabwa tu! Nasikitika sana kuuona wabunge wamekua washabiki
 
Cuf wa bara na profesa wao wanapelekeshwa!! Aibu tupu!
 
tehe tehe amijei anabwabwaja bwabwaja tuuu sisi tunataka katiba mpyaaaaaa.
 
Hali hairidhishi, kuna kila dalili kuwa tusitegemee lolote jipya, damn it,, huyu Halifa wa CUF analeta tu mipasho yake bungeni!
 
HIVI ni kwanini wanalazimisha usomwe kwa mala ya pili? wanawahi kitu gani? kuna nini kimejificha hapo?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Jamaa hatari sana wanalinda ndo yao kwa hali na mali da jamani mapenzi matamu waloyagundua walijua kweli
 
yani wazanzibar ni wanafiki washenzi na wahuni mavi yao kwanza, wanafiki wakubwa sn juz wameandika waraka kw hawataki muungano leo wanajidai eti wanaupenda muungano. Shenzi zao kwanza siangalii bunge tn nasubiri kwenda barabarani
 
Vijana wa Taifa hili inabidi tuwe Jasiri kudai haki za msingi ambazo katiba ya sasa inatunyima.
Tuondokane na Woga, tudai katiba Mpya itakayo tusaidia kujua haki zetu za msingi za kuwa na usawa kati yetu na kutokomeza maslai ya kundi dogo lenye kuwakandamiza wengi.
 
Mtatiro unaona aibu hii? Haya ndio mawazo yenu wabara pia? Aibu sana! Bakizeni walau utu wenu jamani!
 
hivi huyu jamaaa anaongea huu upuuzi hajui km yupo kwenye ardhi ya TANGANYIKA! na si kule kizimkazi? tumewakaribisha tumewapa ardhi sasa wanatudhihaki
 
yani wazanzibar ni wanafiki washenzi na wahuni mavi yao kwanza, wanafiki wakubwa sn juz wameandika waraka kw hawataki muungano leo wanajidai eti wanaupenda muungano. Shenzi zao kwanza siangalii bunge tn nasubiri kwenda barabarani

huyo ni mtu mmoja tu dadangu, tusiwahukumu wazanzibar wote kwa hilo.
 
Huyu Mrema kawa Doctor tangu lini? Mrema kajichokea sana, sijui anaongea nini tena, ngoja tumsikilize ila sioni kama kikombe cha babu kimemsaidia sana, kajichokea na naona anakimbilia dini
 
Back
Top Bottom