Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,404
- 100,603
Nilijua tu CUF watasapoti
Right step wapinzani! Waje mtaani tu,wametubip muda mrefu! Wapitishe sasa!!BBC wanahoji mwenyekiti Jukwaa la Katiba Bw. Deus Kibamba ambaye anasema amepokea kwa masikitiko sana kwa serikali imechanganyika na kudharau Watanzania.
Ameongea sawa kabisa...kura zetu ndio ziliwapeleka bungeni..maoni yao ndio maoni yetu sisi wananchiana kilango anasema WAO WAKO BUNGENI KUWAWAKILISHA WANANCH HVY MAOÃI Y2 SS WANANCH KUHUSU KATIBA YATAWASILISHWA NA WAO WABUNGE.
Kaaaaazi kweli kweli Tanzania bhana Ana Kilango kapoteza network naona anaongea tu haijulikani hata anaongea nini!!!! Kajichokea tu naye huyu
jamani LISSU ni kichwa mnooooo!!
Tumeshawazoea...Waliotoka ni CDM
kilango kadata utadhani kaibiwa simu pale mwenge...hahaaa bi kiroboto unaloooo