wapinzani wanatoka njeeeeeeer
Mrema kabaki wakuu! au yeye sio mpinzani! hyu mama anaongea nini? mbona simwelewi...Du!. Wapinzani wamesusa, sijui this time kama Cuf, Nccr, Udp na Tlp wameunga mkono!.
Wabunge wa upinzani watoka nje kupinga muswada
Wambunge frm Zenjı ndo wametoka!
Baada Lıssu kufunua ukwelı!
Kilango anajidai ana busara!