Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

mlema ni docta!??? naona anamwaga pumbaaa hapa,njaa inamsumbua
 
huyu mrema naye na kofia lake km kapu anajidai kunukuu aya ya kuran kw mnafiki hataenda peponi. YN VUNJO MMECHAGUA KICH.AA
 
Sasa kaanza Mrema na kujiumauma eti yeye si mnafiki kama aya za kurani zinavyosema.
 
inafaaa kunji la nchi nzima lianze mara moja
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Naona Mheshimiwa Dokta Mrema wa Vunjo (sijui phd ameipata lini?) anatema cheche, hadi anajikuta anasema Mheshimiwa Mwenyenzi Mungu Spika, lol...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mmmh heri mbunge wangu katoka nje, ana akili timamu huyu ila hawa waliobaki mmmhh sidhani kama kweli ni wabunge au ninanihiii tu
 
Dr mrema ..tuongozwe na ukweli, kanukuku koran juu ya mnafiki..rais katoa zawadi ya katiba mpya, rais afanye utashi wake juu ya katiba anamwamini rais katika mchakato..
 
mlema hana mtiririko anaongea bila kujua anachoongea
 
Duh naona Mrema anasahau anachoongea! aah ngoja nikatafute kitimoto nile mie, hapa hamna kitu yaani pamoja na kutoroka kazini halafu nimeambulia upupu tu
 
Hii agenda ya katiba itawashughulisha sana wanaharakati hadi vita dhidi ya ufisadi itasahauliwa.
 
Nadhani kuna mchezo umepangwa kuwapa nafasi wapinzani ili CDM waonekane wakorofi,,
 
Kikombe cha babu noma namrema kawa mka me roon fle anavyo zungumza kama katumia mchuzi wa mawe du
 
Nadhani Mrema sio tu kuwa hajui anachoongea ila nadhani hajui hata procedures za huo muswada wenyewe maana hata wabunge wenzie wanamshangaa anachokiongea!!!
 
Back
Top Bottom