Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Wana jf,hebu tuache ushabiki na tujiulize ni kwanini spika wa bunge kayaita maoni ya kambi ya upinzani kuwa ni ya mh tundu lisu

kuna uhalali gani spika kufanya hivyo

je kuna ulazima wa kuwa na waziri vivuri kama maoni yao yanaonekana ni ya mtu binafsi ?


kwanini spika ameyaita maoni ya upinzani kuwa ni maoni ya tundu lisu
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Naona Mheshimiwa Dokta Mrema wa Vunjo (sijui phd ameipata lini?) anatema cheche, hadi anajikuta anasema Mheshimiwa Mwenyenzi Mungu Spika, lol...
.

tehtehtehteh! Mheshimiwa Mwenyezi Mungu tena!!!
 
Naona Mheshimiwa Dokta Mrema wa Vunjo (sijui phd ameipata lini?) anatema cheche, hadi anajikuta anasema Mheshimiwa Mwenyenzi Mungu Spika, lol...

kheee mheshimiwa mwenyezi mungu
 
Mrema anasema eti hatutungi katiba ila tunajadili katiba tuu. Yaani sijui watu wa Vunjo walichagua kitu gani. Kama hawajuti sasa hivi basi wana kasoro.
 
huyu mzee ni kilaza kweli.... mrema anamwaga pumba hapaaa
 
Ananimalizi LUKU yangu tu na vocha ngoja niende kwenye jukwaa la MMU eti Mrema anajiita Mzee mwenye busara kisha ashakua waziri.....anaongea kwa niaba ya nafsi yake ila sio Mrema
 
yani wazanzibar ni wanafiki washenzi na wahuni mavi yao kwanza, wanafiki wakubwa sn juz wameandika waraka kw hawataki muungano leo wanajidai eti wanaupenda muungano. Shenzi zao kwanza siangalii bunge tn nasubiri kwenda barabarani
kama mambo yatakuwa haya basi kufikia mwaka 2015 basi watanzania wengi ugonjwa wa moyo unatuhusu...
 
Mrema katiba aitungwi leo tuweke uvumilivu katika suala hili anaunga mkono hoja hataki watu kuandamana kwa ajili ya katiba
 
Kwakweli Watu wa Vunjo walituangusha sana Mrema ovyo kabisa.
 
jamani wa TZ wenzangu bila ya kudai katiba kwa nguvu hatutaambulia chochote. wenzetu Kenya walilianzisha wakapata katiba mpya hii mijitu ya ccm iliyopo bungeni inaendelea kula good time tu kwa hii katiba. sisi tunaendelea kutaabika tu na kunyimwa haki zetu. mrema snatoa historia yake mbofumbofu he is a failure leo anaitetea ccm upuuzi mtupu!
 
Ukiwa angalia Usoni wabunge wa CCM..... Aibu 2pu... Hight % Wanaijua kweli bt watafanyaje njaa inawasumbua..
 
Back
Top Bottom