David Silinde cyo mbunge wa ccm.
Hiyo ndo imetoka...wakiomba ushahidi akauleta na ukathibitika, bac zambi atatakiwa akaisaidie takukuru
Sio kufavour my interests. Mbona kasolve pia issue ya Hamad Rashid na Magdalena Sakaya vs Nyambari Nyangwine kirahisi tu. Ushabiki kwenye baadhi ya mambo hauna maana Mkuu, CDM nao ni Watanzania kama ulivyo wewe na Spika Makinda, they deserve respect panapohitajika. Sio jazba za Mbunge wangu MakindaGerrard sio kwa sababu maamuzi yamekuwa in favour of your Interest (CDM)?Otherwise ni busara njema kafanya Simbachawene kuepusha unnecessary misunderstanding kwa Wabunge wetu.I concur with u.
David Silinde- Mbunge wa Mbozi Magharibi kupitia CHADEMA. hebu edit hiyo post yao!Mbunge wa CCM David Silinde Akitolea uvivu chama chake asema mpango wa Maendeleo wa 2011/12 - 2015/16 ni changa la macho haiwezekani kutekelezeka, asema inakuwaje wenzake hawasomi alama za Nyakati.Kapigwa stop na Mwenzie kwa mwongozo kuwa kapotosha kuwa maelezo aliyoyatoa yanalenga kuupotosha Umaa, Duuhh Hii kali baadhi ya wabunge wanashabikia ati CCMApaza sauti upya na kudai haitaki taarifa hiyo kwa kuwa imelenga kujipatia ujiko kwa mbunge aliyempiga stop bila kufuatilia kwa umakini alichokisema.Inafurahisha kuona kama wabunge hakuna kulemba bendera za vyama ni hoja tu.
Sio kwa maslah yoyote,kamtetea na Nyambari pia..Nimemkubali.Gerrard sio kwa sababu maamuzi yamekuwa in favour of your Interest (CDM)?Otherwise ni busara njema kafanya Simbachawene kuepusha unnecessary misunderstanding kwa Wabunge wetu.I concur with u.
Hasara na janga kubwa kwa Taifa. Anajiumauma huku anawauzia wadogo zetu vitabu vyake. Labda ndio maana hata failures zimekuwa nyingi zaidiHuyu jamaa anatoa wapi mawazo ya kuandika vitabu. mbona hata hawezi kujieleza, nimemsikia anambwelambwela tu.