Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

Bunge limekuwa serikali watanzania wenzangu juweni hatuna serikali.
hii imekaa vizuri sana maamuzi yote sasa hivi yawe yanafanyikia bungeni tu..hoja nyingine za dharura ziendelee kuletwa maana jk anawaza atasafirini lini nje ya nchi...

serikali imetoa amri kwa maiporte wakubwa wanne(BP,Engen,....hao wawili nimewasahau) kwa ndani ya masaa 24 wawe wamefungua madeport yao na watoe mafuta.....pia wamtakiwa wajieleze kwanini wasipewe adhabu
unajua haya makampuni yanawapa 10 % mafisadi wetu...sasa watajieleza nini wakati watkutana baadae jioni wapeane hizo %%% mkuu utasikia tumewasameahe na kuwapa onyo kali...

sidhani kama kutumia jeshi ni strategy yenye kuleta suluhu ya muda mrefu. Kumbuka issue si wasambazaji tu, ila pia ni waagizaji wa mafuta.

Kama jeshi litalitaingilia kuuza mafuta yaliyoko kwenye pump, yakiisha basi tena.

Kumbuka huwezi kuwalazimisha wafanyabiashara waagize kwa nguvu kwa pesa yao. Je serikali inayo hela ya kuagiza mafuta yenyewe kwa dharula hii?

Kama serikali itachukua ushauri wa zitto basi itaifanya hali kuwa mabaya zaidi!

Mimi sioni hata faida tuliyoipata watumiaji wa mafuta kwa kupunguziwa sh. 100 kwa lita na kusababishiwa huu usumbufu! Ni bora tungeendelea kulipa hii sh 100 kuliko huu usumbufu. Na hata hivyo hili punguzo halitadumu hata mwezi mmoja kabla bei haijapanda tena.

Serikali haina nia ya kupunguza bei ya mafuta maana bado wanapata hele nyingi tu ya kodi zaidi ya 500 kwa lita. Kama wangekuwa na nia ya dhati wangepunguza angalau wabakiwe na sh. 200 kwa lita kama kodi ya serikali. Kodi zenyewe wanazokusanya zinaishia mifukoni mwa watu. Kodi za mafuta na Paye ni rahisi kukusanywa ndo maana ni kubwa kupita kiasi. Kuna kodi nyingi hazikusanywi kwa sababu zinzugumu wa kuzifatilia kutokana na mfumo mbovu

Serikali imeshindwa hata kuanzisha system ya namna transaaction zote kubwa zifanyike kupitia computerised system na banking ili kudhibiti ukwepaji kodi kwa sababu ya cash based transactions.

Wamekalia kubana tu kwenye vyanzo rahisi vya kodi kama mafuta na paye.

Mimi napendekeza wawaachie tu wauza mafuta maana hamna faida yoyote mtumiaji anaaipata kwa kupunguza hiyo sh.100 kuliko kusababisha hii kharaha ya misongamano ya magari,pikipiki, bajaji na vidumu kwenye vituo vinavyouza mafuta.

Mkuu kituo chako cha mafuta kinaitwaje vile? Ngonini filling station?

Hivi kwa hasira tuliyo nayo wananch, na kwa kuwa hawa magabachori wameamua kuitusi serikali yetu japo ni legelege kweli, Tuvamie vituo vyote vilivyogoma kwa nia ya kujichotea wenyewe, jeshi la polosi litakaa upande gani?
Watalinda vituo vya hawa mafisadi kinyume chetu ama watakaa upende wetu wananchi tunaokataa serikali yetu kutukanwa kwa notes ya saa 24?

Serikali inayoingia kwa msaada wa wafanyabiashara,ikiwa ikulu itawaabudu hao wafanya biashara.Ndio maana hakuna tamko kali dhidi ya hawa jamaa.SIJUI WATANZANIA TUMEFANYWA NINI NA HUU MFUMO.Pamoja na haya yote, bei ya vyakula kuwa juu,mgao wa umeme,matatizo ya maji,elimu kuzidi kuwa mbovu na hili la mafuta BADO HAUTUJAINGIA MITAANI?!! Labda ipo siku' hata hivyo nimeamini 'CHAMA LEGELEGE KINAZAA SERIKALI LEGELEGE'

Kweli serikali ionyeshe msimamo kwa hili kwani imedharauliwe sana na wauza mafuta kana kwamba hakuna serikali wamelelewa na serikali wanaidharau.

Mkuu mfanya biashara anaangalia profit, sasa wewe unaposema wametuibia una uhakika gani profit ya (mwenye kituo) na sio muagizaji ni kiasi gani na kuingia kwenye hii biashara alikopa kiasi gani na kwa kuuza mafuta kwa bei tajwa atapata hasara kiasi gani..?

Biashara na jeshi ni vitu viwili tofauti mkuu mkianza kuwaforce watu ni kuleta biashara za Black Market (watu kuanza kuuziana mafuta kwa njia za panya).. Hivi hawa wanajeshi wakiingia na kuanza kufanya kazi wenyewe na kesho mfanyabiashara akasema mashine zimeharibika au kuna upotevu wa pesa kiasi fulani ni nani atabisha na nani atalipa..?, na hizo cost za kuwasambaza hawa wanajeshi na kuwapa posho kwa hii kazi nchi nzima itakuwa ni kiasi gani na kiasi gani tuta-save..., na haya mafuta ya kwenye stock yakiisha what next..., au tumilikishe biashara yote ya mafuta kwa jeshi?

Mkuu the only best solution ni kupata waagizaji wengi zaidi wa mafuta na competition ita-sort out bei na kwa wasiotaka kuuza au kuona faida ni kidogo wataacha kuuza, ila kwa short term kuwatishia faini au kupoteza leseni inaweza kusaidia, na inabidi kuangalia hii hasara anaibeba nani..?,

Mkuu VOR mbona unatetea saaaana kuepusha matumizi ya jeshi la nchi kuuza mafuta? Je una hisa katika mojawapo ya visima vya mafuta nini? Kwani profit margin ya wauza mafuta ni kiasi gani? Katika nchi kama Tz ambazo utawala ndio huo, wafanya biashara wanapata super profit na kiburi juu kwasababu wanajua udhaifu wa serikali.

Sasa hivi ghalama ya kununua mafuta kiasi cha 4,000/ kwa lita ni afadhali uka-deploy wanajeshi kwenda kuuza kila kituo na kuwalipa posho. Ghalama ya kulipa posho wanajeshi si kubwa kuzidi ghala ya sasa ambayo watu wamekabiliana nayo kwa siku zaidi ya saba. Naomba ufahamu kwamba nchi inaweza kuingia katika vurugu ama vita wakati wowote hali hii ikiendelea. Kama ukiogopa ghalama ya kulipa posho askari kuuza hayo mafuta, je utaweza kukabiliana na ghalama ya vita, vifo vya watu, watu kujeruhiwa na uharibifu wa malii? Wewe unajali tu profit ya hao wezi kweli ndugu!

Sasa hivi serikali imedharaulika kupita kiasi na inahitaji kuonekana kuwa bado ipo na inashika usukani wake barabara. Bila hivyo very soon ... veeery soon itakuwa kiza...

Wakuu kama mtakumbuka Mbunge wa Nyamagana alitolewa nje bungeni kwa sababu alikuwa na taarifa ya dharura kuhusu samaki wenye sumu, lakini majibu ya spika ni kwamba taarifa ya dharura ni nchi kuwa vitani, sasa nina taarifa kwamba bungeni sasa hivi wanajadili hoja ya dharura je nchi yetu iko vitani? naomba mwenye taarifa za vita atujulishe ili tujiandae.

Mkuu unataka vita gani zaidi? Umeme hakuna, mafuta hakuna hivi ni vita tosha. Nchi hipo vitani Mkuu!

sasa the end ya serikali legelege ya huyu mtalii imekaribia. yaani wa2 wachache wameiweka serikali yake mfukoni huku yeye anacheka na kukejeli wa2 bila kuangalia mambo makuu yanayoaffect nchi. kweli mliomchagua huyu mtalii aongoze nchi mmeipoteza mazima hii nchi

sasa the end ya serikali legelege ya huyu mtalii imekaribia. yaani wa2 wachache wameiweka serikali yake mfukoni huku yeye anacheka na kukejeli wa2 bila kuangalia mambo makuu yanayoaffect nchi. kweli mliomchagua huyu mtalii aongoze nchi mmeipoteza mazima hii nchi
Hapo utasababisha awe anashinda magogoni ( Mahoteli yatapata hasara huko nje)

Uhaba wa nishati ya mafuta nchini imelelewa na ccm. Kila msimu wa uchaguzi unapokaribia ccm huwachangisha wafanya biashara wakubwa na wakurugenzi wa mashirika mamilioni ya shilingi.
Watu hawa wamefika mahala wanalazimika kufidia hasara wanayoipata kwa kutafuta kuipiku sesikali kutawala badala za serikali.
Wabunge wa ccm wanafahamu hivyo hawana haki ya kuwakoromea waagizaji na wauza mafuta.
Aidha jumuiya zote za ccm zina ubia na wafanya biashasa hawa. Uhusiano ni wa miradi ya mamilioni hadi mabilini ya shilingi. Ni undugu huu unaowafanya baadhi ya wafanyabiashara waseme SERIKALI IKO MIFUKONI MWA.
Kwa hiyo,wabunge wa CCM NI WANAFIKI katika sakata hili la mafuta.O

Mbunge wa Bumbuli Januari makamba ameomba mjadala wa dharura kujadili ukosekanaji wa mafuta unaotokana na wenye vituo kugoma na kupelekea nchi kuwa kwenye wakati mgumu

UPDATES
Hoja imekubaliwa na mjadala unaanza sasa kwa January mtoa hoja kuanza

Jamaa kamzidi Akili baba yake 100 Times... Y. Marope alikuwa Kilaza na Atasahaulika Haraka Sana...

Hoja yake ya dharura kuhusu hali ya mafuta nchini imemlazimu naibu spika kuitisha kikao cha dharura cha kamati ya uongozi ya bunge live..!
Majuzi Tuliambiwa Dharula Endapo Kuna Vita mmh! Au Ipo Tufahamishane Ndugu Wananchi... Wenje alionja Joto ya Jiwe Kuomba Dharula

Ingekuwa ni wanafunzi wamegoma kuingia darasani basi wangevurumishiwa mabomu ya machozi, risasi za moto na maji ya kuwasha.....lakini muuza mafuta ANAIPA SERIKALI 24hrs na "serikali" inachekacheka tuuuu...
Si serikali inyocheka cheka kaka, ni mkulu, yawezekana keshawaambukiza na wenzake kucheka cheka

Natamani wananchi wangesusia vituo vyote vilivyogoma kuuza mafuta pale watakapoanza kuuza hadi pale watakpoomba msamaha.

Yaa hili nalo nadhani lingeweza kusaidia, tungefungamana na wale waliotujali wakati wa shida, hawa kina E ngen, Oilcom etc tuwachunie tu!!!

Back
Top Bottom