Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Hadi spika mwenyewe alikuwa mpole hakuna cha mtu kuomba muongozo wala taarifa,hakuna cha lukuvi wala olesendeka maana hawa wawili ndio wanakiherere cha kuomba muongozo na taarifa.
Teh teh! Dr Hamisi mbunge wa Nzega hakutoa taarifa? Manake alijidai kutoa Taarifa utadhani ye Waziri wa wizara husika.
 
Huyu Mbowe naye mnafiki! Kwanini hakukataa V8 alilopewa kama kiongozi wa upinzani? Kwanin bado anaendelea kupokea posho? Msimamo wa wa cdm kuhusu posho ni upi?
 
Magamba haya yoote wanaona kama anatafuta umaarufu tuuu! walivyo waajabu!
 
Huyu Mbowe naye mnafiki! Kwanini hakukataa V8 alilopewa kama kiongozi wa upinzani? Kwanin bado anaendelea kupokea posho? Msimamo wa wa cdm kuhusu posho ni upi?

Mtazamo wa watu binafsi na matendo yao ni utata siku zote; ila nionavyo inazungumziwa sera iliyo ndani ya ilani ya CDM hapo nainga mkono 101%.
 
Tumia akili resource person hu-charge fee sio allowance. Get into ur head.

wewe mtoto angalia ulimi wako! Ina maana natumia nini kama si akili? Acha matusi wewe. Jamaa amesema alikuwa anachangia uzoefu wake na kama ametoka nje ya organization huwa anaitwa resource person. Huenda ikawa si kwa maana unayoijua wewe yaani Consultant/Resource person lakini ndivyo anavyoitwa. Tumia akili wakati unajibu hoja
 
Jamani naomba blog yenye hotuba ya mbowe maana wengine hatukuwa na umeme msaada wa ntakapoisoma hotuba ya kamanda wetu
 
Mtazamo wa watu binafsi na matendo yao ni utata siku zote; ila nionavyo inazungumziwa sera iliyo ndani ya ilani ya CDM hapo nainga mkono 101%.
Sera isiyotekelezeka? Anazidi tu kuwadanganya watanzania!
 

Nadhani hatujui kitu tunachokiongelea hapa. Ni wakati muafaka tupate aina za posho zinazolipwa. Sijui kama kuna mtu ameuliza kuhusu mbunge wa Dodoma Mjini kulipwa sitting Allowance!! Mimi nimeuliza kama analipwa Per Diem siyo sitting allowance. Sitting Allowance ni posho ya kikao; unallipwa kwa kukaa kikaoni. Per Diem ni posho ya kujikimu ukiwa nje ya kituo chako cha kazi.

Sasa ndio nikauliza kama Mbunge wa Dodoma Mjini analipwa Per Diem kwa kuwa Bunge linafanyika Jimboni kwake kwa hiyo haendi nje ya kituo vhake cha kazi!! Watu wengine pia wakaja na suala la mawaziri kuwa na nyumba Dodoma ambazo zinahudumiwa na serikali. Tofautisha Per Diem na Sitting Allowance Mkuu.
 
<br><br>hakuna ya nguoni hapo, hiyo ni hali halisi ya waheshimiwa wengi baada ya kustaafu.
Nilishakutana na KIMBAU wa mafia pale minazini bar uwanja wa taifa DAR.............. akyamungu ni aibu.......YAANI ANAAGIZA BIA MUHUDUMU AKICHELEWA NI KOFOKA BAA NZIMA.......... WE KWA NINI UNAMCHELEWESHEA HUDUMA MBUNGE......................???!!! Full aibu
 

Mkuu wadhania hawa jamaa viongozi wetu i mean hawayajui haya wao wanachotaka ni kututawala kwa mabavu na ndio wanavyo fanya kwa visingizio oooh Baba wa Taifa katuachia nchi yenye neema na Utulivu na Amani kweli hii ni akili mliwachiwa nchi yenye uwezo na Viwanda nchi gani itajiendesha bila viwanda vyake tumekuwa tegemezi la nchi za magharibi na kuituhumu IMF na WB kila kukicha huku hatujui jinsi ya kukusanya kodi zetu za ndani nchi imegeuzwa kuwa ya kundi la wahuni fulani wajanja tuu na kuwa wanayang'anyi kwa wananchi,

Frankly speaking viongozi waserikali wanajua fika na wanapo tupeleka na Tamaa zao mbay na kuwa na umaskini wa fikra zao wakidhani sie ni madodoki siku zao zina hesabika na wao ndio watakao kuwa wa kwanza kimbia hii nchi ngojeni tu kama hali hii itaendelea ndio mwisho wao unagota sasa

Majuzi tumeambiwa nchi yetu(Tanzania) ni miongoni mwa nchi 7 afrika ambazo serikali zake zime kula rushwa toka nchi magharibi kwa kuuza Aridhi za wazawa sasa mwategemea nini vichwa vyao hawa mpaka wana uza aridhi hamuoni ni kusudi hilo. Africa Is Mumu Inc: Us Universities(Harvard et al) buying up African lands - Nairaland

Someni hapo mjue mengi ya Serikali yenu mbali na hizo Posho

Alafu NGO zikisema rais wetu analalamika oooh mwaenda kusema nchi yetu mabaya na hayo ya viongozi wako tena watendaji wanauza aridhi ya watanzania tena maskini we JK unaona ni sawa sindio?
 

kimbunga kama rejao akili zimehamia vikapuni
 

Mkuu alisema unamcheleweshea huduma Mbunge au Kanali?
 
Kweleakwelea Mimi nina uchungu na hasira kwa kuwa nilikuwa namsikiliza Ndg. Mkulo akijibu hoja za wachangiaji wa budget ghafla TANESCO wamechukua stima yao.
 
Nimemsikiliza Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe. Kwa kweli alichokiongea naweza Kusema Amefunga Bunge la kumi (10), bila shaka kuna watu machozi yamewatoka. Ni Misumari ya Moto mwenye Macho haambiwi Tazama
hicho kipande tunakiomba kwa yu chubu
 
Huyu Mbowe naye mnafiki! Kwanini hakukataa V8 alilopewa kama kiongozi wa upinzani? Kwanin bado anaendelea kupokea posho? Msimamo wa wa cdm kuhusu posho ni upi?
Hakupendekeza aletewe V8 yeye ni kiongozi lazima apewe gari hata wngempa mark II asingekataa
 
Sasa hiyo yote tisa, kumi majibu ya mkulo kwenye majumuisho yake, nimelazimika kuzima tv ili nikae tu JF niangalie mambo ya maana, msitegemee lolote kutoka kwa mawaziri wa ccm, u will be dissapointed guys.
Priority kwa sasa ni kuing'oa ccm madarakani, not otherwise. Hawa ccm ni Comedians & Jockers !
 
eti, eh!
 
Kura zinapigwa sasa kwa mbunge mmoja mmoja kusema ndio au hapana, mibunge yote ya ccm kazi yao ndio, ngoja tuone je wa upinzani nao watakubali ndio,... stay tune, live coverage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…