Edson Zephania
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 517
- 112
Msimamo wa kutopokea posho upo palepale, tufanye maamuz kwa maslah ya wananch na si wabunge, walimu, polisi, manesi nk wanapata wapi posho?. Kama suala ni sheria bunge ndo hutunga sheria hvyo pia kunauwezekano wa kubadilisha.
Ni kwamba Mbowe amejaribu kuelezea unafiki wa viongozi na wabunge katika nyanja hizi.
1. Je kuna kiongozi mpaka leo hii ambaye hajui ukimwi unaambukizwaje? Sasa hizo semina ni za nini?
2. Wafadhili wanasafiri na economy class watanzania wafanyakazi business class
3. Je ni wangapi wakistaafu wanaweza nunua shangingi? Sasa ni kwanini yasiuzwe na wafanyakazi wakopeswhe magari yao?
4. Semina zimezidi kila waheshimiwa wakienda wanaishia kupewa mabegi, huo ni wizi mkubwa sana.
Kwa kifupi viongozi wanatumia muda mwingi kwenye vikao vya kulipana posho na kama hamna posho hamna anayehudhuria