Habari toka jikoni zinasema kuwa Waziri wa afya bwana Hussein Mwinyi kutoa kauli ambayo ina ujumbe huu.
Wote watakao Goma kufukuzwa kazi kuanzia leo na wataweka daftari la kujiandikisha na kusaini.
Viongozi wote wa migomo kusimamishwa kazi na ikiwezekana kufutwa kazi na ikiwezekana kunyang'wanywa leseni.
Kutofanya shughuri yoyote katika maeneo ya hospitali.
Watakao kubali kufanya kazi kulindwa na askari.
UPDATES
Dodoma Interns 11 watimuliwa katika mafunzo ya vitendo kwa sababu ya mgomo
Wale ambao wataendelea kugoma hawatalindwa na polisi? kwani kazi ya polisi si kulinda raia na mali zao..
Pinda, kauli ya lolote na liwe alioitoa juu ya Mgomo wa Madaktari Alimaanisha kwa vile kesi
ipo Mahakamani na kwa kuheshimu muhimili wa dola. Yani Mahakama. Serikali haipaswi
kutoa kauli au kusemea shauri lililopo Mahakamani. Lakini kwa vile wanao athirika ni
wananchi na wanakufa. Hivyo lOLOTE NA LIWE serikali italisemea na kama itakua imeingilia
Mahakama, LOLOTE NA LIWE,