Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Mh. Getrude Lwakatare-Ndioooo. Mh.Musa Zuberi-Ndioooo, Sugu-Nashukuru Mhe. Spika kwa kunipa fulsa ya kupiga kura yangu ya hapana. Umeme umekatika, CCM, CCM,CCM...
 
Kura za ndio zinahesabiwa wanandugu, ikiwemo kura ya JEMEDALI SHIBUDA. Ni furaha hapa mjengoni wadau!
 
Imani imesha toweka na kura kwa uzoefu umeme ukikatikakatika kipindi cha kuhesabu kura ujee ccm wameshinda hii technique wanatumie mara nyingi sana na leo ameitumia bungeni
 
Back
Top Bottom