Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

da huyu mgimwa anaongea kishupavu had mbowe na vjana wake wanashangilia
 
Leo ndio waliompongeza mnyika wanatambua kuwa alifanya kitendo cha kitoto, hii ni siku ya kusikiliza majibu ya hoja zilizotolewa. yet wanaubngo hoja zao hazikufikishwa!
 
kwa majibu haya ya hoja ccm itaendelea kubaki madarakani daima mnaohama hameni tu but mtakuja kujuta ccm ni zaid ya mkakati

Mr emmy, hizo ni mbwebwe. Deep down mambo ni kinyume na kwa kuanzia angalia kwenye Halmshauri. Mfumo bado unavuja vibaya sana and it will take more than mtu anayeongea kwa confidence to sort out the mess.
 
kwa majibu haya ya hoja ccm itaendelea kubaki madarakani daima mnaohama hameni tu but mtakuja kujuta ccm ni zaid ya mkakati

Hoja iendane na vitendo, mkiboresha uchumi na maisha ya wananchi, mtatawala mpaka kaburini, lakini yote hayo mumeisha chelewa, wananchi hawana imani hoja hizo wamezizoea kuwa ni propoganda hivyo mnayo kazi kubwa, ila ni rahisi kujiandaa kuwa wapinzani.
 
Mgimwa: Serikali imezingatia hoja na mapendekezo yenu wabunge, serikali inaunga mkono hoja kuondoa vat kwenye viwanda vya nguo vinavyotumia pamba iliyozalishwa nchini. Makofiiiiiiiiiiiiii, pa pa pa papaaaaaaa
 
"Tunalifanyia uchambuzi"................hii kauli hii......:sad:
 
tatizo vijana wa mbowe hampendi kuambiwa ukweli. Mgimwa kaanza kwa kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa baada ya kusifia maoni ya rubbish bajeti

umeonesha udhaifu wako,bila shaka unatatizo la kichwa.
 
Mgimwa: serikali iwezeshe mipango ya ajira kwa vijana, msimamo wa serikali ni kwamba, serikali itachukua hatua za kisera kupitia sekta binafsi pamoja na kuwekeza kwa elimu ya ujasiriamali. Serikali imeongeza mabenki toka 43 april 2011 hadi 49 april 49 2012.
 
kwa majibu haya ya hoja ccm itaendelea kubaki madarakani daima mnaohama hameni tu but mtakuja kujuta ccm ni zaid ya mkakati

sidhani kama unafikiri kwa kina kabla ya kupost
 
mgimwa+wasira=wabunge wote wa chadema na wanachama wao. Leo mnathibisha hilo
 
Kuhusu national debt, vile vigezo 5 alivyotoa anamaanisha ni mpaka tuwe (tufike) kweye hali ya karibu na Ugiriki na Ireland ndipo hawa jamaa wataanza kujaribu kufikiri kuwa hali halisi haiendani na takwimu zao. Kwa mfano:-

1) Umaskini umezidi, FACT.
2) Ufisadi umekidhiri, FACT.
3) Mfumuko wa bei umepanda, FACT
4) Hakuna ajira mpya na hata zilizoko sio rasmi (bora mkono uende kinywawni), FACT
5) Mgomo wa madaktari unaashiria hakuna uwekezaji wa maana ktk sekta ya afya, FACT
6) Mgomo baridi wa walimu uliodumu kwa muda mrefu, sasa utakuwa rasmi, FACT
7) Reli, bandari nk vinahujumiwa kila kukicha, FACT
8) Sekta za madini na utalii ni sekta za waheshimiwa watawala, hazina mchango stahiki ktk GDP, FACT
9) Kama ccm & serikali zake kwa miaka yote hii wameshindwa kutumia rasilimali kama madini, utalii & kilimo kuodnoa umaskini na kuleta maendeleo basi logic inaniambia hata kwenye gesi & uranium mambo yatakuwa yale yale na matokeo yale yale.
 
Mgimwa: Tumesikia kilio cha wananchi, tumesikia kilio cha CCM, tumesikia kilio cha serikali ya CCM.
 
Back
Top Bottom