Muhagama kakimbia muongozo wa zitto, sbb aliomba muda mrefu hata kabla ya mhe. Sitta, cha kushangaza baada sita kumaliza vijembe, akafunga bunge. Ila h.kigwangala kwa kwel kilaza et kafananisha makusanyo ya kodi ya 2005 na 2010 bla kujua exchange rate ya dollar. N bora akaficha upumbavu wake cz kila cku wanamuumbua.
Kagomewa Vibaya na kuna uwezekano mkubwa jioni wakaipotezea Live, tutasikiliza hata katika Radio, Ila update zitakuja kama kawaida hata kwa vyanzo vyetu vilivyopo mjengoni
Kaka mimi ni MPENDA HAKI kama wewe!, Hiyo CCJ mshirikishe nayo NAPE! Ha ha ha haaaaaaa.....!!!!!!!
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.
CCM ndio dume lenu nyie.
Edson, sote tunajua kuwa Sita sio kilaza. Tunafahamu uwezo wake wa kumudu mambo. Shida hapa ni moja kuwa ukiwa CCM ni lazima ukubali kuwa mnafiki. Ijumaa alipokuwa nanazungumzia muungano yeye kama kaimu kiongozi wa shughuli za serikali bungeni alisema: "Ninayoyasema siyo ninayoyaamini mimi kama mimi ila hii ndiyo historia. ..." Kwangu mimi, hapo alimaanisha anasema kwa vile yuko huko.
Mwangalieni mtoto wa mkulima alivyochuja ... Ni sababu ya kutaka kutetea mlo kwenye sahani. Ili hilo lifanikiwe ni lazima uwe mnafiki wa nafsi yako mwenyewe.
Tatizo CCM ni wanafiki kama ulivyo wewe, unatetea chakula chako na si Watanzania walio wengi, na wao wana haki katika nchi yao, Haki ya Kupata Matibabu, Elimu ,Maji na Mahali Bora pa Kulala.hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.
CCM ndio dume lenu nyie.
Wapwaz. Nilikuwa porini najifunza mbinu za kuzuia UCHAKACHUAJI.
Bungeni ninachokiona ni mwenendo wa wabunge wa CCM kukubali liwalo na liwe lazima waweke maslahi ya chama kwanza ndipo nchi inafuatia. Ninafurahishwa namna ambavyo ccm wanajibu pumba kwa hoja za maana za upinzani. Wasidhani hii nchi ni ya kwao. Sisi RAIA ndio wenye nchi na tupo wengi kuliko risasi zao.
Pia kwa wabunge wote, sijaona mtu akitoa hoja binafsi kuhusu kupanda ghafla kwa gharama za maisha hasa bei ya mafuta ilihali duniani kote halio haipo hivyo.
jioni hawataruhusiwa kudai huo muongozo maana ulishapita wakati wake ila nachofikiria ni kuwa Jioni atakaposimama mbunge wa upinzani ayarudie maneno hayohayo kwa serikal kuwa ni ya KINAFIKI najua tu CCM wataamka kudai mwongozo kuwa kauli hyo ifutwe. Hapo ndipo mtiti utakapoanzia kwamba Tunamtaka Mh Sitta nae afute kauli yake ya asubuh kuwa WAPINZANI NI WANAFIKI la sivyo hakuna kufuta kauli.nasubiri kipindi cha jion,natamani niwe naibeba tv pamoja na kingamuz niwe nakwenda navyo job,nakosa uhondo mie,na hiyo ijumaa wizara ya nishati naweza nisiende kazin,kaaz kwelikwel! magamba watajuta kuwa mjengoni.na kama mtu haamin mwulize mwakyembe anavyojisikia kuwa naibu wazir
ndg yangu amenikwaza alikuwa na maneno mengi ya kusema kuliko haya aliyoyasema leo.Mh Sitta bonge la KILAZA, kama wana ubav mbona wamekimbia? Nilikuwa namuheshm Sitta lakin leo nimemuona PIMBI
Kaka unawatukana Chadema bila ya sababu unaona ukiwa na chuki unafanya mambo hovyo hovyo .Kafulila ni NCCR Mageuzi na si Chadema .CCM kweli akili zenu zimepinda
yaleyale ya waziri KOMBANI..mpo wengi ila amjapata nafasi.yani wapiga debe wa Kariakoo umewaonaje sijuiHuyo ni mpiga debe wa kariakoo achana nae.
si huyu kigwangala aliye waandamisha watu halafu kesho yake anasema maandamano ni kuvunja amani ?jamami nahofu na udoctor wake au kaupatia kwenye neti nn