Bunge: Wabunge wanakatwa kodi zote stahiki ikiwemo 'PAYE''

wewe na Kimei yale yale kama wewe ndiye mshauri- btw Kimei How much? Huyu aliyekuwa CRDB akiwakopesha wachaga wenzie kwa riba zero?
 
Wabunge wanakatwa kodi kwenye mishahara yao,
Ambacho hakikatwi kodi ni helza za mfungo wa bunge (8M) na hela za vikao.

Wanaogopa kutangaza hadharani maana watu watahoji hizo 8M, na kwa sababu sio zao ni za wananchi basi kelele zitakuwa nyingi na madili yote yataisha.
 
Wapuuzi sana ,sisi tunataka Gross yote(12m+) ilimwe kodi na si Basic Salary.(3m)
Wala hiyo siyo basic mkuu, ni ujanja umefanyika. Wametenga kiasi kidogo cha fedha (3m) wakakiita mshahara. Halafu kiasi kilichobaki (9m) ktk mshahara huo huo wakakiita posho ili kisikatwe Kodi.

Halafu huyu mjinga lisinde std 7, anapata wapi locus (ama tuite nguvu ya kimamlaka) kumpinga Ludovick Utto??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…