Bunge: Wabunge wanakatwa kodi zote stahiki ikiwemo 'PAYE''

Dua la kuku huwa alimpati mwewe, wewe ndio umesema nachukia, wewe ndio umesema sijawahi pata mshahara ata sijui hizo habari unaokota wapi.

Unajua kuna vigogo huko serikalini wakisoma hizo comment zenu ni muda gani wametaka wengine tuje front sema tu hatuna tu hizo interest.

Hivi unajua ata hili swala la polisi kupiga mkwara wa show kutishia nyau wanaotaka kuleta fujo wameliokota kwangu enzi za JK uchaguzi wa 2010?

Nikitaja mawazo huko serikalini waliokota kupitia comments tu ni endless. La mwisho ni hilo la bank kuu kushusha riba ya mikopo kwa asilimia tatu mimi ndio niliompaka Dr Kimei michango yake ya ovyo bungeni aina tija, week hiyo hiyo akachangia professionally athari za interest za 5% loans + margin safety interest za inflation. Juzi tumeona bank kuu wanajaribu kushusha riba ya mikopo kwa ushauri wa Kimei.

Halafu ungejua fursa nilizonazo hapa kijijini kwetu ndio ungeona upuuzi wako. Ndugu michango yetu wengine inaokotwa na wakubwa kweli; usituchukulie poa kabisa. Serikali ya Tanzania ya ndio yenye shida na watu kama sisi.

Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, yaani nimuonee wivu mmbunge wa Tanzania; aisee.

Wabunge walipe kodi sahihi
wewe na Kimei yale yale kama wewe ndiye mshauri- btw Kimei How much? Huyu aliyekuwa CRDB akiwakopesha wachaga wenzie kwa riba zero?
 
Wabunge wanakatwa kodi kwenye mishahara yao,
Ambacho hakikatwi kodi ni helza za mfungo wa bunge (8M) na hela za vikao.

Wanaogopa kutangaza hadharani maana watu watahoji hizo 8M, na kwa sababu sio zao ni za wananchi basi kelele zitakuwa nyingi na madili yote yataisha.
 
Wapuuzi sana ,sisi tunataka Gross yote(12m+) ilimwe kodi na si Basic Salary.(3m)
Wala hiyo siyo basic mkuu, ni ujanja umefanyika. Wametenga kiasi kidogo cha fedha (3m) wakakiita mshahara. Halafu kiasi kilichobaki (9m) ktk mshahara huo huo wakakiita posho ili kisikatwe Kodi.

Halafu huyu mjinga lisinde std 7, anapata wapi locus (ama tuite nguvu ya kimamlaka) kumpinga Ludovick Utto??
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom