Bunge maalum la katiba lahairishwa jioni hii baada ya vurugu kutokea

Ni shilling 2000 kwa kg 1 tu na wanapatikana sana sewa, kimboka bynight, zambezi inn, makali.o bar TMK, lambo, africa sana (hongera na cona bar) nk

Kuna dagaa wengi sanaa maeneo hayo.

mkuu,u mean dagaa wa kigoma hawahawa wa lake Tanganyika ????
 
Sio kuahirishwa. Bora hili bunge la kijinga likavunjwa ili tugawane mbao, tujue moja.

Acheni kuchochea vurumai bungeni. Hoja hukataliwa kwa hoja na si vinginevyo.hawa UKAWA ni matatizo matupu.hawaeleweki wameibukia wapi.hawajachagulia na yeyote.it is a confused group from no where.watu waliofika bungeni kwa muda tu halafu warudi watokako.they have nothing invested in this process
 
WAZO LANGU
Wapenda amani kwa kweli kinashotokea Dodoma ni AIBU YA MWAKA NA KESI YA KUBWA DHIDI YAO YA KUHUJUMU UCHUMI WA NCHI.
Mimi nashukuru sana kwamba yale niliyokuwa nawambia watu kuwa Sitta anakuja akidhani ataweza hamna kitu bali ccm walitaka kummaliza katika kinyang’anyiro cha uraisi je sasa hayajatimia? Nani atamchagua kutoka Watanzania ambao wanamtazamo tofauti na ccm na wapinzani amewaona kama si Watanzania wenzake ila ccm? Pole sana Ndugu yangu Sitta hukuyang’amua hayo mapema sasa wamaekupiga PUUH! UKIJIONA POLE SANA

:A S embarassed:
 
Acheni kuchochea vurumai bungeni. Hoja hukataliwa kwa hoja na si vinginevyo.hawa UKAWA ni matatizo matupu.hawaeleweki wameibukia wapi.hawajachagulia na yeyote.it is a confused group from no where.watu waliofika bungeni kwa muda tu halafu warudi watokako.they have nothing invested in this process

Yupi ni confused kati yako na hao ambao unawatetea maana sisi Watanzania tuliyo wengi tunawapa big up UKAWA kwa KUTETEA HAKI ZA WATANZANIA TULIOWATUMA. Enzi ya kuleta ngoma za mdumange zimekwisha sasa ni kuanuka scientific research kam wa WARIOBA.
 
Back
Top Bottom