Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

Hahahahahahahahahahhahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahaahhahahahahahahahahahah

Nnape bwana hamnazo kweli yeye amebakia Anologia hajui habari za Digitali, TV hata kwenye simu tunazo na tunaona hata kama tuko chooni wacha makazini

Unafanya kazi wakati gani sasa? Yeye hoja hapa watu wanaangalie wakishamaliza kazi wapo nyumbani...
 
Tusubirie tu kwa mwenendo huu itafikia mahali wabunge wa CHADEMA watakatiliwa wasiingie kwenye bunge, maana mpaka wanataka kufanya hivi it means wamekaliwa koofini na wabunge wa CHADEMA na wameshindwa kuwa mudu na wananchi wanaona ndio maana wanataka kufanya huu ujinga wao, naamini watashindwa na hawatoweza....

Hivi kuna nchi ambayo inaficha vikao vya bunge visiwe live kwa wananchi wake??Au Tanzania ndio itakuwa nchi ya kwanza kuwa hivyo maana nashindwa kuelewa kwa kweli....wanataka kutumia ubabe kwa kila kitu??Nadhani hapa wamepotea njia na watakuwa kwenye hali mbaya sana sana hivi subirini tuone movement yao kwanza itakuwaje maana akili zao zinawatosha wenyewe...
 
Kwa kiasi sana nami kauli za Nape zinaanza kunishangaza.Hivi ina maana huyu ndugu yetu hajaelewa mjadala? suala ni vurugu na wabunge wanaofanya fujo bungeni ndio chanzo cha bunge kutorushwa live.Sasa suala la kwamba likirushwa live watu huwa wanakuwa hawana muda wa kuangalia Nape unatuanzishia mada mpya.Samahani lakini mkuu Nape! ila nakushauri penye ukweli usilete masihara.!

Haaaah, haaaah, ujue hizi posho za mitandaoni zinamfanya mtu kama mtumwa........
 
Kumekuwepo na Uvumi na upotoshaji mkubwa unaoendelea katika mitandao ya kijamii hasa hapa JF kuhusu kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Nape Nnauye.

Upotoshaji huo umejitokeza kufuatia Nukuu ya gazeti moja la kila siku la Nipashe kunukuu kauli ya Nape juu ya mjadala unaoendelea hivi sasa kuhusu kuonyeshwa ama kutooneshwa kwa Bunge la Jamhuri. Kilichojitokeza ni kuwa Mwandishi wa Gazeti hili aliwasiliana na Mwenezi kutaka maoni yake juu ya suala hilo na ndipo Nape alipofafanua kuwa hawezi kupinga suala la kuonyeshwa kwa Bunge live na kueleza kuwa tunalo tatizo la msingi la kushuka kwa nidhamu ndani ya vyombo vyetu vya maamuzi wakati mwingine lakini lazima tufikiri katika njia sahihi zaidi katika kutatua matatizo hayo bila kuzalisha matatizo mengine zaidi. Hakuna maana wala tafakuri iliyo sawa inayoweza kukubaliana na uamuzi wa kutoonyesha bunge ili kukuza nidhamu ya wawakilishi bali ni lazima kanuni zilizopo zifuatwe na zipewe makali zaidi ya kuwashughulikia wale wenye kufanya makosa. Ninachokisema ni kuwa tunahitaji muda zaidi wa kuonyesha bunge letu, ili kuwapa fursa wananchi kulifuatilia kwa umakini zaidi na kwa namna hiyo kuwaongezea ushiriki wao katika vyombo hivi vya kimaamuzi, lakini pia kuwaongezea hoja na vigezo vya maamuzi juu ya wawakilishi wao kwa yale wanayoyasema bungeni. Lakini pia hili la kutoonesha linakinzana na kanuni za utawala bora ambazo tunazifuata na kuzidumisha.

Hata hivyo Nape ameendelea kufafanua juu ya mjadala huo kupitia mitandao yake ya Kijamii, ambapo kwenye facebook ameeleza.lakini maelezo kama hayo ameyatoa kupitia akaunti yake ya twitter, ambapo amesema;
Jamani hawa ndio wasanii nitakufa nikiwakataa!! hebu ona anavyojikanyaga!! Anavyomung'unya maneno. Hebu ona lack of moral authority!! na kwa aibu hapo mwishoni anaanza na "LAKINI pia---- I hate you Nape!! kuna kipindi uliniimpress uliposema unachukia unafiki. Lakini practically Nape ni Mnafiki.
 
Ni jambo la ajabu sana kuwa na wanasiasa vijana wenye maono primitive kama aliyotoa.Nimeshangaa kweli kweli na mbaya zaidi yeye ni graduate wa kwenye Journalism.Katika jambo baya zaidi ambalo mwanasiasa makini analoweza kufanya ni ku-compromise taaluma yake kukidhi haja za kisiasa
Ni mnafiki wa kufa huyu kilaza mkuu. Miye nimechukia maneno ya kisanii ya kuzunguka/kumung'unya. Huyu ni kuwadi wa wakubwa!! He has no independent opinion basi.
 
Kilicho cha msingi zaidi kukijadili ni hoja ya Usahihi wa TAMKO la Nape dhidi ya nukuu ya gazeti na baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamii, linapoachwa hili la msingi na kufanywa jingine ambalo si la msingi kama hili la kujadili juu ya nani aliyeleta thread ni wazi kuwa lengo la kuwa na taarifa iliyo balanced na sahihi halitofikiwa. Kama kuna hoja juu ya kauli ya Nape kuhusu bunge ni mahala pake hapa ila juu ya mleta uzi sidhani kama ni wakati ama mahala sahihi kulijadili hilo katika uzi huu.
 
Independent opinion ipi ambayo Nape amekosa katika kauli yake hii, sidhani kama haya aliyoyasema ni mkumbo ama mtazamo wa wakuu fulani kwenye Chama bali ni mawazo na fikra huru za Nape kulingana na anavyotathmin mambo na kuyatolea matamko ama ufafanuzi.
 
hao wasioenda kazini au maofisini unafikiri huwa wanazubaa ndani kuangalia bunge?kwa taarifa asilimia 80 ya nyumba mda huu ziko empty,au wapo mahousgal au wamama wa nyumbani na wako busy wanafanya usafi,kupiga deki kuosha vyombo,kufua,kuenda sokoni,kuandaa mlo wa mchana etc.
Wanaongaliaga TV mida kama hii hawazidi 5000 nchi nzima.

yaani wewe ndo m.a.v.i. Kabisa afadhali hata ya Nepi.
 
Jamani hawa ndio wasanii nitakufa nikiwakataa!! hebu ona anavyojikanyaga!! Anavyomung'unya maneno. Hebu ona lack of moral authority!! na kwa aibu hapo mwishoni anaanza na "LAKINI pia---- I hate you Nape!! kuna kipindi uliniimpress uliposema unachukia unafiki. Lakini practically Nape ni Mnafiki.
Unafiki wa NAPE ni upi..? kauli hii inafanana vipi na unafiki.,ama tafsir yako ya unafiki ni ipi..?
 
maji yamewafika shingoni hawajui tena cha kufanya, je ile marufuku ya kuitwa waheshimiwa imeishia wapi??
 
@Nape ametishika na kurekebisha kauli baada ya tamko kali la John Mnyika.
 
Last edited by a moderator:
Unafiki wa NAPE ni upi..? kauli hii inafanana vipi na unafiki.,ama tafsir yako ya unafiki ni ipi..?
soma maelezo yake na mwishoni "lakini pia-- Ni mtu asiyependa kuwaudhi wakubwa zake lakini anataka umaarufu wa UMA. huo ndio unafiki. Ungeelewa nini kwa maelezo ya mwanzo kabla ya "lakini pia--? Na hayo ya baada ya kazi maana yake nini? Si ina maana amekataa live show? NI MNAFIKI!!
 
wamepima kina cha maji na kuona ni kirefu na maji ni mengi. ha ha ha haaaaaa! ccm bhana.
 
hao wasioenda kazini au maofisini unafikiri huwa wanazubaa ndani kuangalia bunge?kwa taarifa asilimia 80 ya nyumba mda huu ziko empty,au wapo mahousgal au wamama wa nyumbani na wako busy wanafanya usafi,kupiga deki kuosha vyombo,kufua,kuenda sokoni,kuandaa mlo wa mchana etc.
Wanaongaliaga TV mida kama hii hawazidi 5000 nchi nzima.
bado upo analogy mkuuu! watu tumetoka huko!
 
Wanataka kuficha nini wanainchi, kwa nini wasionyesh ni vitu gan vinavyoendelea bungeni,
 
Umeona eeh. Hiyo, Id nimeshalishtukia hata mimi siku nyingi. However, it does not matter, cha msingi ameona maji yanazidi unga sasa anatafuta kurekebisha. Bunge lazima lioneshwe live. That is the bottom line. Kauli ya Mnyika pia ni mwafaka.

kimsingi hapa hatuna viongozi kabisa eti chama kikubwa namna hii nafasi yake nyeti kabisa ya uenezi taifa anapewa mtu kama NAPE,ni mara kumi hata wangempa SHIGELA.na sio huyu PUNGUANI NAPE!unakithalilisha chama kama hawajakutuma kusema hivyo,maana inawezekana isiwe wewe labda umetumwa na secratariate.
 
Nape akipata wasaa, asome tena hiyo nukuu aliyotoa kwenye gazeti la Nipashe. Inamvunjia heshma - yeye Nape- na pengine ni vema , in the future, akavuta pumzi na kutulia kabla ya kuongea na waandishi wa habari.

Kuonesha ni jinsi gani Nape amelikoroga, anasema: 'anaunga mkono jambo lolote linalota heshma kwa bunge'. Lakini anaendelea kwa kusema kuwa bunge linarushwa 'live' wakati wa asubuhi, na wakati huo (kwa maoni ya Nape) watu wako makazini, hivyo hawana muda wa kufuatili'

Kwa maneno mepesi sana, Nape anataka watu waazima na akili zao waamini kuwa kuonesha vikao vya bunge live- asubuhi kunalivunjia heshma bunge! Hii ni hadithi ya ajabu kabisa toka kwa Nape, na ndio maana nashauri asome tena nukuu yake ili aepushe chama chake na taifa kwa jumla na haya masimulizi ya kuanga-unga.

Heshma ya bunge haina uhusiano wowote na kurushwa live asubuhi, mchan, jioni au usiku wa manane. Kama bunge linaendeshwa kihuni kihuni, bila kufutata kanuni na taratibu zilizowekwa, usitegemee heshma. Kwa bahati nzuri tunayo mifano halisi. Bunge la Tanzania lilipata hesham kubwa wakati wa Spika Sitta. Na hii ni kwa sababu ya uelewa wake na kuheshimu utawala wa sheria lakini pia kuelewa kuwa bunge ni mhimili huru na wa muhimu kwa uhai wa taifa. Sitta aliongoza bunge kwa HAKI.

Makinda, kwa sababu anazozijua yeye, licha ya kuwa Naibu Spika wakati wa Sitta, amerudisha nyuma hatua zote tulizofikia, kama taifa kwenye suala zima la utawala wa sheria. Bunge haliwezi kuwa na heshma kama anayeongoza haelewi 'equation' ya heshma ya bunge inajumuisha nini? Bunge haliwezi kuwa na heshma kama mkalia kiti cha Spika anavuruga kanuni, taratibu,tamaduni/desturi zilizowekwa kuongoza bunge? Ukisshavuruga kanuni maana yake unaruhusu 'chaos'. Na dawa yake si kutoonesha vikao vya bunge 'live'. Hivyo, hoja ya Nape ni ya kipuuzi na haiwezi kutatua tatizo la msingi linaloharibu bunge.

Teh..teh..teh... acha kunivunja mbavu. Nape ana heshima ipi? Tangu ashindwe ku-back up statement yake ya kutoa 90 days kwa magamba heshima iliishia pale pale. Unaweza kumuweka Nape kwenye kundi la GT? Sijasikia tena akiongelea OIL CHAFU tangu Text message ya Shonza kwenda kwa Nape irushwe juu kwa juu, na hata pale Shonza na Mwapamba waliporudi kwenye chama chao. Ila kwa mimi namuelewa Nape; kunyamaza kimya kuhusu oil chafu maana yake Shonza na Mwapamba wamerudi nyumbani kwao na huwezi kuwaita oil chafu...GOT IT.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
fighting-parliaments-globally-20.jpg

hata ulaya ukileta upuuzi bunge linakuwa halitoshi..ndo dawa yenu na tutafika tu

Hii kitu ipo dunia nzima! Soon tutaishuhudia TZ, na ni kitu chemo katika kuleta heshima ya kidemokrasia... Kwamba hata Kama tunatofautiana itikadi lazima tuheshimiane, mtu au kundi la watu wakileta ujinga ikibidi mnazichapa, next day heshima moja kwa moja na hata hizo kanuni ndio zinaheshiwa zaidi. Fungua: www.parliamentfights.worldpress.com/
 
Ni jambo la ajabu sana kuwa na wanasiasa vijana wenye maono primitive kama aliyotoa.Nimeshangaa kweli kweli na mbaya zaidi yeye ni graduate wa kwenye Journalism.Katika jambo baya zaidi ambalo mwanasiasa makini analoweza kufanya ni ku-compromise taaluma yake kukidhi haja za kisiasa[/QU Hata afanye makosa kiasi gani, bwana NAPE hawezi kufikia rekodi yako ya unafiki. Ktk siasa uchwara we ni profesa.Amepigiwa simu kutakiwa maoni, ameyatoa yamepotoshwa unataka akae kimya? Huyo mwenyekiti wako aliwahi sema livelive kuhusu ugombea wa Slaa kule karatu na baadaye akakana bila aibu baada ya magazeti kuandika sembuse huyu ambaye amekoseshwa kwa makusudi na mwandishi limbukeni?
 
Back
Top Bottom