Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

Hivi kabla hajaunga Bunge kutoonyeshwa live? Je aliisha jua ukoo wake?
 
Ndio unamjua leo? huyu ni janga la ccm na ni mmoja wawanaokibomoa chama
 
Wanaopiga marufuku bunge kuonyeshwa live siyo wajinga.

Wanafanya hivyo kwa kujua kuwa Watanzania hawatawafanya chochote zaidi ya kupiga domo tuu.

Kupiga domo bila kuchukua hatua ndiyo tabia ya Watanzania.

Maamuzi yameshafanywa kuwa this bunge will no longer be televised.

Na wanajua hamtawafanya chochote maana wengi wenu ni wanafiki wa kutupwa.
 
(KUTOKA KWENYE WALL YA DC WA MVOMERO (CCM) Anthony Mtaka



NITAMSHANGAA MBUNGE ATAKAE-KUBALIANA NA HOJA YA KUVIONDOA VIPINDI VYA BUNGE LIVE KWA SABABU MUFILISI KAMA ALIZOZITOA KATIBU WA BUNGE!!-"MTU MWENYE AKILI,AKIKUPA MAWAZO YA KIPUMBAVU NA WEWE UNA AKILI,USIPOYAKATAA ANAKUDHARAU"-By JK.NYERERE-NANI KASEMA TUNATAKA KUHARIRIWA VIPINDI VYA BUNGE??NANI KASEMA HAPATI MDA WA KITAZAMA AU KUSIKILIZA BUNGE??MAWAZO HAYA NI KIELELEZO CHA UBUTU WA FIKRA,SERIKALI YA CCM,IMEFUNGUA MILANGO KWA VYOMBO VYA HABARI NCHINI,HATA KUANZA MCHAKATO WA KUFANYA HABARI KUWA MHIMILI WA NNE NCHINI,NI UWENDAWAZIMU MTU KUHITAJI UDHIBITI WA BUNGE KWA KUZUIA KUPNEKANA LIVE!!!NARUDIA NI UWENDAWAZIMU !!!!!

KUTOKA TANURU LA FIKRA(FACEBOOK0 MH.Julius Kalanga -DIWANI WA CCM WILAYA YA MONDULI

WABUNGE NI WAWAKILISHI WETU.KM HATURUHUSIWI TENA KUWAONA WANACHOJADILI TAFSIRI YAKE NI. HII.
labda hawatuwakilishi sisi bali matakwa yao na wale wanaowasiikiliza .
au wanachojadili hakina tija. wala maslahi kwa umma bali wao na familia zao
au
bunge hili lina tia aibu na hivyo wanaona aibu km mtu aliye uchi.na hivyo lzma ajifiche kwa kuchuchuma.

Mtazamo wangu
sio hiari ya spika wala wabunge wenye wala awaye yote kutuonyesha au kuto kuonyesha bunge.BALI NI kwa matakwa ya wale yaan umma uliowapeleka bunge vinginevyo mnataka kusahau mmetokana na nn n mnasimamia maslahi ya nani.
Pili njia pekeee ya kutokuonyesha bunge ni wabunge kujiuzulu ubunge na chombo hicho kufutwa kabisaa na
maadam bado niny ni wabunge ni lazima tuwaone mnacho jadili sisi tuliowapa dhamana TUTAPIMA PUMBA NA MCHELE.
Tatu haikupaswa na tena ni aibu sana kujaribu tu kusema eti bunge lisionyeshwe.
Hili la sisi kuona mnachofanya sio HISANI YA MTU.
kuchuchuma hakuondelei aibu bali ni kujivika nguo ili kusitiri mwili wako.

Kila mpenda nchi yake hawezi kuunga mkono upuuzi huu wa kipuuzi.


KATIKA HILI WAMETELEZA CCM KAMA MKAKATI NI KUDHIBITI VYAMA VYA UPINZANI.

SWALI NAPE HUWA ANAELEWA ANACHOZUNGUMZA??? AU KWA SABABU HANA AJIRA HAPA MJINI ANAZUNGUMZA LOLOTE LILE LINALOKUJA MDOMONI??JE ANAFIKIRI KATIKA HILI ADHABU YA WANANCHI KWA CCM ITAKUWA NINI NINI 2015????




 
nape hajui kinachoendelea dr kasema tatizo ni muda matatizo ya kutofikiri wangapi wanaenda ofis kwanza aelewe hoja ya katibu ndipo aseme
 
Nepi akil una ww unadhan watu wot wanakua maofixn mda uo ooooh maskin nepi una akil za kuangalizia
 
CCM ni wasahaulifu sana. wanasahau wako kwenye karne gani. kukiuka kanuni kwa makusudi na kisha mnataka kuwaficha wananchi haki yao ya msingi ya kujua wawakilishi wao wanafanya nini, hii haikubaliki kwenye kizazi hiki. wakitaka wajaribu wataona yatakayojiri. mbona wengine hukunjiana ngumi kabisa na kutoleana bastola. ni heshima ipi wanayotafuta kwa kuvunja kanuni kwa makusudi na kuonyesha upendeleo wa wazi? wanadhani watafanikiwa kwenye karne hii?
 
Nape ujue wa Tanzania tu wengi zaidi ya wabunge wenu wa ccm, nashukuru kwa kauli yako hiyo sababu imeonesha jinsi ccm mlivyo hamuwajali wananchi. Tv hadi makazini zipo siku hizi so usitudanganye. Kwanza kwa bongo hii watu waliopo makazini ni wachache sana ukilinganisha na watu waliopo mtaani hawana kazi, na petty traders na wakulima. Nape umechemsha sana!
 
Upofu wa kufikiri mwingine huo Nape anaudhihirisha! Hivi kwa nini mtu anaropoka ujinga eti tu amepewa nafac ya kutoa maoni? kwa mara nyingine amenunua dharau kwa bei ndogo sana.
 
hao wasioenda kazini au maofisini unafikiri huwa wanazubaa ndani kuangalia bunge?kwa taarifa asilimia 80 ya nyumba mda huu ziko empty,au wapo mahousgal au wamama wa nyumbani na wako busy wanafanya usafi,kupiga deki kuosha vyombo,kufua,kuenda sokoni,kuandaa mlo wa mchana etc.
Wanaongaliaga tv mida kama hii hawazidi 5000 nchi nzima.
huu sasa ni umburura kabisa.
 
Mawazo ya kutoonyesha Bunge live ni mawazo ya kihalifu dhidi ya uma. Wananchi wote wanashirikishwa vikao vya Bunge kwa kuona live na kusikia.
Ni haki ya kila mwananchi kuona na kusikia yale yote yanayofanyika ndani ya ukumbi wa Bunge kwani siyo siri.
Wale wote wanaojaribu kuwanyang'anya wananchi haki hii ya msingi ni maadui wa uma na hawatakiwi kuvumiliwa hata kidogo!
Inasikitisha kuona kwamba viongozi wengi wanageuka kuwa maadui wa wanaotakiwa kuwaongoza, hivyo ni muhimu kufikiria njia sahihi za kuwaondoa maadui hao kwenye ofisi za uma walizokabidhiwa.
 
Asubuhi ni muda wa kazi. Ukienda ofisini halafu usihudumiwe kisa mfanyakazi yupo busy kwa kuangalia bunge utajisikiaje?

Bunge lisionyeshwe live, wawe wanaonyesha marudio yake yote saa tano na nusu usiku.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nani kalalamika kukosa huduma kwa ajili ya Bunge?.
Je hiyo ni sababu ya maoni ya Kashilila.
Au ni kijisababu cha kutetea upumbavu wa wapumbavu!.
Baadae mtasema ni gharama kubwa kulionyesha Bnge live pia.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye, amesema kuwa jambo lolote ambalo linaleta heshima kwa Bunge analiunga mkono.

"Suala la Bunge kurushwa ‘live' halirushwi kwa wakati ambao watu wanafuatilia kwani wakati wa asubuhi watu wanakuwa maofisini, wakati wa mchana wao wanakuwa wako mapumziko wanakula na Bunge nalo linakuwa mapumziko, sasa wanaangalia saa ngapi?" alihoji Nape.
Alisema hawezi kupinga suala ambalo linaonekana lina faida na kuleta heshima kwa Bunge hivyo anaafiki uamuzi huo.

Source:Nipashe Ijumaa
This is the last person in my life I will consider for a political leadership!! hypocrisy!! oh my God kwa hiyo anatumia neno "haliruhusiwi"!!! Kwa ujinga wa kinafiki anatumia kisingizio watu wapo makazini!! Miaka mingine watu walikuwa hawaendi makazini!! Nchi nyingine watu hawaendi makazini!! Anaacha kusema wazi kuwa wanaogopa hoja za ujambazi wa raslimali za taifa tusione!! I hate this hyporite!! hadi ninajisikia kumrukia huko alipo!!
 
hivi huyu anafikiri bado yupo enzi zile za babu yake nini? Au ndiyo upeo wake wa akili ulipofiki? bora kuishi na chizi fresh kuliko msomi anayejipumbaza
 
Kwa hiyo bunge wanataka tuwe tunaangalia kama hisani??na posho zetu watarudisha??
 
Siku hizi watz walio wengi wameamka ndugu zanguni! Angalia kwenye maduka yaliyo mengi, maofisini, mfano kwenye vituo vikuu vya polisi kuna tv, hata mimi nimeweka tv dukani kwangu! Huyu bwana Nepi halijui hilo, anaropoka ropoka tu bila kufanya utafiti!! Ovyoo..... kabisa!!!
 
wanajf, hapa kashilila na Nape ni vipaza sauti tu haya maamuzi yamefanywa tayari na cmm so hawa wametumwa. ila nawalaumu kwa kukubali kutumiwa kwa maslahi ya cmm. hizi hoja hazina mashiko ni za kipuuzi sana. tatizo kwetu sio muda ni tatizo ni ni kwa nini bunge lisionyeshwe live? jamani tutumie njia gani ili tuweze kuwaonyesha cmm kuwa TUNAPINGA hoja yao? binafsi naumia sana kuona tunaonewa kiasi hiki na ccm.
 
Asubuhi ni muda wa kazi. Ukienda ofisini halafu usihudumiwe kisa mfanyakazi yupo busy kwa kuangalia bunge utajisikiaje?

Bunge lisionyeshwe live, wawe wanaonyesha marudio yake yote saa tano na nusu usiku.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Achaa upuuzi wa kingese we na napi wako.wala hujui ofisi wewe nenda mabenki karibu yote yanaonyesha bunge na wanaoangalia ni wateja walioko kwenye foleni,mnashindwa kwa hoja mnatafuta visababu.kama watu wanakuwa maofisini kwanini tv ziwashwe mchana.
 
Back
Top Bottom