master peace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 1,450
- 444
Nape ana upungufu wa akili achana nae.
HII MANENO NDIO INAWAPONZA...........HAWAPENDI TUIONE
![]()
Asubuhi ni muda wa kazi. Ukienda ofisini halafu usihudumiwe kisa mfanyakazi yupo busy kwa kuangalia bunge utajisikiaje?
Bunge lisionyeshwe live, wawe wanaonyesha marudio yake yote saa tano na nusu usiku.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwa kiasi sana nami kauli za Nape zinaanza kunishangaza.Hivi ina maana huyu ndugu yetu hajaelewa mjadala? suala ni vurugu na wabunge wanaofanya fujo bungeni ndio chanzo cha bunge kutorushwa live.Sasa suala la kwamba likirushwa live watu huwa wanakuwa hawana muda wa kuangalia Nape unatuanzishia mada mpya.Samahani lakini mkuu Nape! ila nakushauri penye ukweli usilete masihara.!Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye, amesema kuwa jambo lolote ambalo linaleta heshima kwa Bunge analiunga mkono.
Suala la Bunge kurushwa live halirushwi kwa wakati ambao watu wanafuatilia kwani wakati wa asubuhi watu wanakuwa maofisini, wakati wa mchana wao wanakuwa wako mapumziko wanakula na Bunge nalo linakuwa mapumziko, sasa wanaangalia saa ngapi? alihoji Nape.
Alisema hawezi kupinga suala ambalo linaonekana lina faida na kuleta heshima kwa Bunge hivyo anaafiki uamuzi huo.
Source:Nipashe Ijumaa
Kwa kiasi sana nami kauli za Nape zinaanza kunishangaza.Hivi ina maana huyu ndugu yetu hajaelewa mjadala? suala ni vurugu na wabunge wanaofanya fujo bungeni ndio chanzo cha bunge kutorushwa live.Sasa suala la kwamba likirushwa live watu huwa wanakuwa hawana muda wa kuangalia Nape unatuanzishia mada mpya.Samahani lakini mkuu Nape! ila nakushauri penye ukweli usilete masihara.!
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye, amesema kuwa jambo lolote ambalo linaleta heshima kwa Bunge analiunga mkono.
Suala la Bunge kurushwa live halirushwi kwa wakati ambao watu wanafuatilia kwani wakati wa asubuhi watu wanakuwa maofisini, wakati wa mchana wao wanakuwa wako mapumziko wanakula na Bunge nalo linakuwa mapumziko, sasa wanaangalia saa ngapi? alihoji Nape.
Alisema hawezi kupinga suala ambalo linaonekana lina faida na kuleta heshima kwa Bunge hivyo anaafiki uamuzi huo.
Source:Nipashe Ijumaa
Muda wa kazi kwa ninyi watumwa wa kazi za kuajiriwa na kupangiwa muda wa kwenda na kurudi. Sisi tunaojipangia muda wa kazi zetu bungeni tunaangalia bunge kwa raha zetu. Pia kumbuka nyie maCCM mmesababisha ukosefu wa ajira kwa mamilioni ya watanzania kwa hiyo hao jobless bunge ndio burudani yao pekee.Asubuhi ni muda wa kazi. Ukienda ofisini halafu usihudumiwe kisa mfanyakazi yupo busy kwa kuangalia bunge utajisikiaje?
Bunge lisionyeshwe live, wawe wanaonyesha marudio yake yote saa tano na nusu usiku.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huyu ana akili timamu kweli? Hivi anajua kuwa ni Watanzania wangapi wanaenda kazini? Tena maofisini? Mbona yeye anafanya mikutano ya hadhara saa za kazi?