Nitaamini kweli WanZanibar wanataka Zanzibar yao na sisi waZanzibara tubaki na Tanganyika yetu ni pale tu Wabunge wote toka Zanzibar watakapo achia ngazi nakuondoka kuacha nafasi hizo hapo ndio nitaona kweli wanachosema mengineyo wanafanya maigizo.
Hii itamaliza utata huu wa MUUNGANO na kuasafisha WATANGANYIKA na kashfa hii mbaya ya kuwadhulumu wenzao wa ZANZIBAR.NATAMANI watoe TAMKO HATA LEO kwani inakera sana
hii itamaliza utata huu wa muungano na kuasafisha watanganyika na kashfa hii mbaya ya kuwadhulumu wenzao wa zanzibar.natamani watoe tamko hata leo kwani inakera sana
namsikiliza kichwa hapa ITV prof. Issa Shivji kamaliza kila kitu kuwa kwenye kura za maoni kuhusu hatima ya Muungano watanganyika wengi walipiga kura ya kuukataa Muungano. alitaja mwaka ila sikusikia vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.