nkungu mwere
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 258
- 336
Nimewaza sana nikapata jibu kuwa kweli CHADEMA ni ngangari, hebu fikiria mtihani huu wanaopitia viongozi wa juu karibu wote wa CHADEMA
Kwanza karibia wote wana kesi mahakamani, sasa ona hili,
Kwanza karibia wote wana kesi mahakamani, sasa ona hili,
- Wakiwa mahakamani bungeni wanaitwa watoro,
- Wakiwa bungeni mahakamani wanaitwa watoro,
- wakifanya vikao kwa ajili ya uchaguzi,polisi "dola"inavizuia
- Wakijipanga kwa uchaguzi msajili anawaamuru wafanye uchaguzi,
- Wakikomaa kwenye uchaguzi wagombea wao wote wanapoteza uwezo wa kusoma na kuandika,