Bunge letu, Mahakama zetu na Dola Vs CHADEMA

Bunge letu, Mahakama zetu na Dola Vs CHADEMA

Alafu unakuta mtu anasema Chadema itakufa,atakufa yeye Chadema itaendelea kuwepo.
ni mpumbavu anaefurahia kufa kwa upinzani. Ni miwani ya macho kwa watawala, ni radio huru kwa wananchi wapenda maendeleo.
 
Back
Top Bottom