BUNGE lathibitisha kujiuzulu kwa Rostam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BUNGE lathibitisha kujiuzulu kwa Rostam

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M'Jr, Jul 23, 2011.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Bunge limethibitisha kupokea barua ya kujiuzulu kwa Rostam Aziz na tayari wameiandikia barua tume ya uchaguzi
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kubenea anachukua jimbo kwa tiketi ya CCM
   
 3. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  I hope DPP na yeye soon atathibitisha kwamba ameshakamilisha taratibu za kumfungulia mashtaka kwa ujambazi aliotufanyia.
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,146
  Trophy Points: 280
  Magwanda mkichukua Ubunge wa Igunga ntajua kuwa 2015 mnachukua nchi, mkishindwa bora mfunge ofisi zenu, maana itakuwa ni washindikizaji kama kawaida.
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  imeingie kwenye records!usije ukakimbia jamvi.
   
 6. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Igunga is one of many constituencies and whether CCM or CDM or CUF gets it there is no guarantee for 2015 its too far to predict anything but with good observation I think the govt is chokwad now na wananchi
   
 7. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Tatizo lenu mnafikiri mna haki miliki ya kutawala hili Taifa.na nivema mkafanya analysis kwa kutumia akili badala ya makalio
  inasikitisha maisha kila kukicha yanapanda nyie kwakuwa mnakula kodi za walala hoi mnajiona mtatawala milele

  hata Ben Ali na Mubarak nadhani walikuwa wanafikiri watatawala milele na kuwaachia watoto na wajukuu wao madaraka
   
 8. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Analysis yako inawalakini,..coz jimbo la igunga haliwezi kuwakilisha mawazo ya nchi nzima.
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  rais wa nchi mzururaji utadhani naniliu ....

  hatuna shida na igunga.

  tunataka maisha bora kwa kila mtanzania tuliyoahidiwa na huyo muuza nyago wa magogoni
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,146
  Trophy Points: 280
  Tena ntakuwa wa kwanza kuwapa Hongera, nikiwa hai ntafatilia kwa karibu sana.
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hapa mada ni RA kuthibika kwamba kesha lala mbele sasa ya Kubenea na CDM kuchukua Nchi 2015 yanatoka wapi ? Chadema wanashindwa kwakuwa Tume huamua kutangaza na kwa ni kajimbo kamoja kura zitaibiwa ile mbaya na polisi kama kawaaida watatumika vibaya we all know that .
   
 12. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Teh teh teh! I can assure u guyz ofisi za vyama vyote zitahamia Igunga kama wataamua uchaguzi ufanyike maana kama mnakumbuka jimbo la Mwibara liliwahi kukaa bila mbunge kwa zaidi ya miaka 3
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na wewe FF najua watu wengi watapingana na hii poin yako
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,146
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna Rais gani zaidi ya Kikwete ambae anafanya kila njia kuhakikisha maisha bora kwa kila mTanzania? hizo safari zote za nje anakwenda kwa ajili yetu na si kutembea. Laiti ungelijuwa, nakuonea huruma sana.

  1) Barabara za lami za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

  2) Shule za Sekondari za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

  3) Vyuo vikuu vya wakati wa Kikwete ni vingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

  4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

  5) Umeme wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

  6) Nyumba za walimu za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

  7) Ukusanyaji wa kodi wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

  8) Utalii Tanzania wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

  9) Mashine za tiba Mahospitalini za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

  Niendelee? inatosha kwa leo.
   
 15. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Excellent! Wewe ni Great Thinker! Kama nchi ingekuwa na watu 10 kama wewe.........
   
 16. UTC

  UTC Senior Member

  #16
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwamba hayo tisa (9) yame/yanafanyika kutokana na misaada ya nje?
   
 17. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  acha kuwashwa wewe.

  View attachment 34297 images.jpeg View attachment 34299 images4.jpeg View attachment 34301 View attachment 34302 View attachment 34303
   
 18. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hakuna hata moja lililofanyika. barabara zenyewe zinaumuka kama unga ulotiwa amira
   
 19. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rushwa na bla blaaa za jk ni nyingi kuliko awamu zote,
  Ungozi wa jk ni ovyo ukilinganisha na awamu zote
  Mzaha mzaha wa jk ni mwingi sana
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama sio magwanda msingekuwa mnavuana magamba na leo hii Rostam angekuwa mbunge. FaizaFoxy you really need to learn a thing or two about the impact of magwanda to ccm. wengine wanatafuta nguvu za ziada kwa manabii wa ki-nigeria (of all places) wengine wanaviziana kupita Jairo. waht a mess!
   
Loading...