Bunge lamchunguza, Rais ampa zawadi

Bunge lamchunguza, Rais ampa zawadi

kwani hamjui Simon group ni geresha na mnunuzi wa kweli ni RIZIWANI????????????????????????

hii filamu kali sana, ni zaidi hizi za akina kanumba, maana kila siku zinakuja fact tofauti tofauti

No wonder siku hizi kila mtu ana hijabu mjini!!!

IMG_9769.jpg

Jk ndiyo zake,wale ambao jamii inawanyooshea kidole kwa kutotimiza wajibu/tuhuma fulani yeye hupenda kuwa nao na hata kuwatetea

Alifanya hivyo kwa RA,Chenge,Lowasa,Mramba etc.

Unatarajia nini kutoka kwa kiongozi mahiri mzururaji? Wa Tatanzania hiyo ni miaka yenu ya kuumia. mpaka mshike adabu kwa wrong choice ya uprezida
Na kweli tutashika adabu kw 60% ya wapiga kura kutuwekea huyu jamaa madarakani.

Nilikuwepo kwenye hafla hii, ni siku aliyofuturisha, wanaume walipewa mifuko hii ikiwa na vikoi na supande wa wanawake mama salma aligawa zawadi ya aina hii ndani kukiwa na vitenge. Ni zawadi ya futuru.. Ila kwangu mimi sioni kama ni sadaka kwani anawaridhisha matajiri amabo hata hata hivyo vitu hawatavitumia, wanaweka makabatini tu.. Ni bora angeamua kufuturisha wale wasiojiweza , wenye shida hata ya kg 1 ya unga kwa siku

Na la kusikitisha zaidi, hizi ni kodi za wanyonge ndo zinatumika kuwafurutisha hawa matajili! hii ni laana tu wanaitafuta.

Huyu huyu aliwasifia Mramba, Chenge na Lowasa wakiwa na tuhuma na wengine wakiwa wamefikishwa mahakamani. Si ajabu leo akimpatia Meya Didas zawadi maana anaweza hata kusema huyu ni safi.
MASABURI YAO WOTE!!!!!!!!

Kama wewe ni wa temeke,kinondoni au Ilala ni kweli MBUNGE WAKO ANAFIKIRIA KWA KUTUMIA MASABURI
Bila kujali ni zawadi gani anayopewa huyu hakupaswa hata kukanyaga ikulu. Mbali ya tuhuma za ufisadi,juzi pia katutukana watanzania wote kupitia kwa wawakilisha wetu leo tunamwona kwenye ofisi yetu ya juu kabisa nchini akipeana mkono na mkuu wa nchi, is he being rewarded kwa kutuibia na kutuinsult?. Huu upuuzi I'm sure huwezi kuuona mahali pengine popote duniani zaidi ya Tanzania.

IK+%2822%29.jpg

Msahiki Meya wa Dar-es-Salaa, Didas Masaburi.

Hapa ninatatizo na mtoa mada,Kikwete amealika Wah. MADIWANI wa Dar. Je, angesema Masaburi usije? Hakumwita Masaburi kama Masaburi amemwita kama DIWANI, hilo la Kwanza, pili kamakiongozi wa Madiwani hivyo alikuwa kiongozi wa msafara.
Hacha chuki na usituambukize upuuzi huu. Masaburi is INNOCENT til then. Shit.

IK+(22).jpg

Msahiki Meya wa Dar-es-Salaa, Didas Masaburi.
yaani bado mnafikiria kuhusu huyu bwana +jairo kuchukuliwa hatua? poleni sana hawa ndiyo wazee wa mujini mujini wanajua kuteta kufichiana aibu. ipo siku ukweli utashinda watenda madhambi wataumbuka.

Hii nchi ina vichekesho sana. Inapofika hapo basi jua kuna jambo, chichi yetu macho.

Ivi izi gharama za kufturisha watu weng na kuwapa zawad ni binafsi au ndo ela zetu. Hapa angeweza saidia shule kibao kupata dawati na mambo mengine unampa zawad m2 asiye na huitaji.

Inawezekana kabisa Mayor Masaburi akawa hana hatia,ni mtu safi, lakini kwa kipindi hiki ambacho yuko kwenye uchunguzi si busara hata kidogo kuonekana kwenye hiyo picha na Rais. Psychologically inampa Mayor Masaburi nguvu kubwa sana.

Kitu kingine ambacho kinanipa shida ni nani analipia hizi futari za kila juma? Nauliza hili kwa nia njema kabisa, na natambua hiki ni kipindi muhimu kwa waislam na nilitegemea Rais angefutarisha watu lakini (LAKINI) sikutegemea angefutarisha kwa kasi hii. Nchi masikini ambavyo inakopa kila kukicha kwa nini Rais anashindwa kutambua concept ya 'kubana matumizi'?.

Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi nusura ikwame kwa sababu ya kukosa fedha, Raisi yeye anazo mpaka za kununua zawadi kwa Watuhumiwa wa rushwa? Umpe mtu chakula na zawadi pia? Washauri wa Rais wanafanya nini? Kwanza mmeona hiyo mifuko ya zawadi? ni kiasi gani mfuko mmoja? Hawa waliofutarishwa wana njaa gani mpaka wapewe chakulana Rais?.

Kama ni lazima kufutarisha kila juma basi wafutarishwe watoto yatima na wasukuma mikokoteni. Hawa ndio wanataka chakula lakini sio wakina Mayor Masaburi.

Sijui tumefikaje hapa. Sijui!

Mh umecoment mpaka nimeihisi machozi yanitoka ila ipo day, leo nilikuwa na jamaa wa hapo magogoni kitego cha ICT Wanavyopiga madili na majumba ya yao boko na bagamoyo hawana miaka hata 10 kazini wewe acha tu.

• Thanks
Reactions: FJM
MASA BURI bado ni Meya na anawakilisha jamii. HAFLA hiyo ilikuwa jijini dar so kama meya lazima aalikwe ikulu that is protocal; angekuwa amepewa barua ya likizo ili kupisha uchunguzi kisha mr president akampa mwaliko hiyo ni kesi ingine. msimamisheni kwanza!!!!

"DONT MAKE OTHER PEOPLE LAUGH AT YOUR BACK"

hata kama bado ni meya but the man is UNDER INVESTIGATION cannot be invited to the state house let alone be given a gift. under normal circumstance would you invite a person who is under investigation by the police officers for wrongdoing in house and shower him with some gift?

hongera sana masaburi kwa zawadi lakini angalia sana kiburi cha mkuu wa kaya maana lazima atakuchimbia kaburi we shauri yako masaburi...

[COLOR=#ff0000 said:
MASABURI YAO WOTE!!!!!!!![/COLOR]

Oooooh MY GOD Jamaa kashetuaribia jina la ukoo kama ilivyokuwa kwa wale wenye majina ya Kihiyo, Fataki.

NB: Kuna mtu alisema kuwa jamaa katutukana kupitia kwa wawakilishi wetu, mimi sikuhisi kutukanwa hata kidogo, alisema baadhi ya ......., mimi simo ila wewe unaesema umetukanwa humo.

Kwa kuwa bado anachunguzwa hana hatia, mpaka pale itakapodhihirika kuwa ametenda kosa, kwa maana hiyo yuko huru kukutana na kila mtu hadi pale kosa lake litakapobainika.

Hapa unakosea kidogo, labda kwa kuwa hukufafanua kuwa kukutana/mikutano hiyo inakuwa ya namna gani na ya watu wenye nyadhifa zipi kulingana na sehemu shutma zinakotokea. Nadhani kwa nadharia yako kusingekuwepo na haja ya mtuhumiwa yeyote kutakiwa kuachia nafasi/kujiudhulu ili kupisha uchunguzi ambao hautaathiriwa na mhusika. Pia wale wenye nafasi/ushawisi katika jamii nao pia wanatakiwa wasitengeneze mazingira yanayoweza kuvuruga uchunguzi unaofanywa na kamati husika. Kwa mtizamo wangu, Masaburi alitakiwa kuweka profaili ya chini tena ikiwa ni baada ya kujiudhulu wadhifa wake. Pia ni aibu kwa Rais kumshirikisha katika mwaliko wa aina hii ambao unaonyesha kuwa wapo pamoja. Kumbukeni hata kina Rostam, Mramba n.k alifanya hivihivi na matokeo yake yako bayana!

Hapa ninatatizo na mtoa mada,Kikwete amealika Wah. MADIWANI wa Dar. Je, angesema Masaburi usije? Hakumwita Masaburi kama Masaburi amemwita kama DIWANI, hilo la Kwanza, pili kamakiongozi wa Madiwani hivyo alikuwa kiongozi wa msafara.
Hacha chuki na usituambukize upuuzi huu. Masaburi is INNOCENT til then. Shit.

Duuuh Masaburi yako yanatumia lugha kali kama ya masaburi original.

Bila kujali ni zawadi gani anayopewa huyu hakupaswa hata kukanyaga ikulu. Mbali ya tuhuma za ufisadi,juzi pia katutukana watanzania wote kupitia kwa wawakilisha wetu leo tunamwona kwenye ofisi yetu ya juu kabisa nchini akipeana mkono na mkuu wa nchi, is he being rewarded kwa kutuibia na kutuinsult?. Huu upuuzi I'm sure huwezi kuuona mahali pengine popote duniani zaidi ya Tanzania.

Hapana hakututukana watanzania wote kama unavyodai. Alisema baadhi ya wabunge wa Dar wanafikiri kwa kutumia makalio. Sasa unataka kusema kuwa baadhi ya wabunge wa Dar wanaofikiria kwa kutumia makalio wanawakilisha watanzania wote? Kwa kiasi kikubwa mimi nakubaliana na Masaburi kuhusu uwezo wa kufiriki wa baadhi ya hawa wanaoitwa waheshimiwa hasa wa chama twawala.

Back
Top Bottom