Bunge lamchunguza, Rais ampa zawadi

Bunge lamchunguza, Rais ampa zawadi

Anayechunguzwa hapa sio meya bali kinachochunguzwa ni uuzwaji wa hisa za uda kwa kampuni ya simon group
 
Kwa kuwa bado anachunguzwa hana hatia, mpaka pale itakapodhihirika kuwa ametenda kosa, kwa maana hiyo yuko huru kukutana na kila mtu hadi pale kosa lake litakapobainika.

"Mke wa kaisari hapaswi kutuhumiwa" ni kiwa na maana kuwa Masaburi kama kiongozui wa Umma ni lazima ajizuie na tuhuma, kutuhumiwa tu ni sababu tosha ya Rais kujitenga nae maana si mtu safi!
 
Ee Mungu utusaidie watanzania tufikie mwaka 2015 kwa amani bila machafuko. Kwa JK kilichobaki ni sala tu, ushauri haumsaidii au hana washauri.
<br />
<br />
Sio zambi rais kukaribisha watu kwenye futari ndio maana makanisani anaeongoza kutoa sadaki kila kukicha ni EL haina maana makanisa wakatae pesa za fisadi,hata kama masaburi ni mwizi stil bado haijathibikika na hata kama imethibitika masaburi kaalikwa sio kwa jina lake bali kwa cheo chake so,rais kafanya ibada ya kufuturisha yaweza ikawa pesa yake ya mshahara na sio ya ikulu hakatazwi mtu kutumia pesa yake kwenye jambo la kheri na hayo ni mambo binafsi ya rais sio kila kitu mnalaumu tu,mna tudrive tufili vingine au chuki zenu binafsi kwa rais,masaburi ana zambi zake ila pale kaalikwa meya wa jiji la dar thus why masaburi yupo pale
 
Back
Top Bottom