Inategemea ni zawadi ya nini. Fafanua, Ila nakushauri 'Acha vipofu waongozane', mwisho wake tutauona.
nini hicho
Nilikuwepo kwenye hafla hii, ni siku aliyofuturisha, wanaume walipewa mifuko hii ikiwa na vikoi na supande wa wanawake mama salma aligawa zawadi ya aina hii ndani kukiwa na vitenge. Ni zawadi ya futuru.. Ila kwangu mimi sioni kama ni sadaka kwani anawaridhisha matajiri amabo hata hata hivyo vitu hawatavitumia, wanaweka makabatini tu.. Ni bora angeamua kufuturisha wale wasiojiweza , wenye shida hata ya kg 1 ya unga kwa sikuYaani ina maana kwamba Bunge liache kumchunguza huyo swahiba wake katika madili waliyofanya au wanataka kufanya jijini Dar.
senkyu tichaInategemea ni zawadi ya nini. Fafanua, Ila nakushauri 'Acha vipofu waongozane', mwisho wake tutauona.
acha mchezo na rafiki mnafikiNilikuwepo kwenye hafla hii, ni siku aliyofuturisha, wanaume walipewa mifuko hii ikiwa na vikoi na supande wa wanawake mama salma aligawa zawadi ya aina hii ndani kukiwa na vitenge. Ni zawadi ya futuru.. Ila kwangu mimi sioni kama ni sadaka kwani anawaridhisha matajiri amabo hata hata hivyo vitu hawatavitumia, wanaweka makabatini tu.. Ni bora angeamua kufuturisha wale wasiojiweza , wenye shida hata ya kg 1 ya unga kwa siku
Nilikuwepo kwenye hafla hii, ni siku aliyofuturisha, wanaume walipewa mifuko hii ikiwa na vikoi na supande wa wanawake mama salma aligawa zawadi ya aina hii ndani kukiwa na vitenge. Ni zawadi ya futuru.. Ila kwangu mimi sioni kama ni sadaka kwani anawaridhisha matajiri amabo hata hata hivyo vitu hawatavitumia, wanaweka makabatini tu.. Ni bora angeamua kufuturisha wale wasiojiweza , wenye shida hata ya kg 1 ya unga kwa siku
Kama ukiwa na kashfa huna hatia mpaka itakapodhihirika, mbona Katibu Mkuu Jairo kaambiwa asikanyage wizarani?Kwa kuwa bado anachunguzwa hana hatia, mpaka pale itakapodhihirika kuwa ametenda kosa, kwa maana hiyo yuko huru kukutana na kila mtu hadi pale kosa lake litakapobainika.
MASA BURI bado ni Meya na anawakilisha jamii. HAFLA hiyo ilikuwa jijini dar so kama meya lazima aalikwe ikulu that is protocal; angekuwa amepewa barua ya likizo ili kupisha uchunguzi kisha mr president akampa mwaliko hiyo ni kesi ingine. msimamisheni kwanza!!!!Nilikuwepo kwenye hafla hii, ni siku aliyofuturisha, wanaume walipewa mifuko hii ikiwa na vikoi na supande wa wanawake mama salma aligawa zawadi ya aina hii ndani kukiwa na vitenge. Ni zawadi ya futuru.. Ila kwangu mimi sioni kama ni sadaka kwani anawaridhisha matajiri amabo hata hata hivyo vitu hawatavitumia, wanaweka makabatini tu.. Ni bora angeamua kufuturisha wale wasiojiweza , wenye shida hata ya kg 1 ya unga kwa siku
Katibu Mkuu Jairo kaambiwa asikanyage wizarani?