Mkamap.
Kozi gani ya miaka mitano au medicine?Alcatel walikuchukua ukafanye Medicine kwao?hapa unakusudia wapi?
Sishangai kushindwa kuwapatia timu wachezaji kwani huna uwezo wa kujieleza au kuelewa topic inasema nini.
Hapa nimekuwekea kila kitu bado una bisha inawezekana hao waliopita ni jamaa zako au kashilillah una ujamaa nae.msome Mtanzania alivyokuweka sawa! msome Chuma ulivyomchanganya na maelezo yako.kama wana JF hawakuelewi wenye timu wangeweza kukuelewa? uko nchi gani Russia au Ukraine?
Nakusaidia kwa mara nyingine. soma kitabu Great Answers to Tough Interview Questions na Martin John Yate.
Mwambie Nombo na Kashilillah wapitie.
Mkamap.
SIko hapa kutetea Udsm watu waliomba kazi wameomba toka vyuo mbalimbali kama Tumaini University,Mzumbe,Zanzibar University,wengine wamesoma NJE .nipe email yako nikutumie kopi ya barua yote ili upate kujua kwa undani.kuliko kudandia dandia habari kama unadandia gari la mabox la ALCATEL.
Mkuu,kwa mtazamo wangu wa fastafasta ni kuwa alikuwa anamaanisha First Lady ambaye ni member hapa jamvini,au??Maybe ikawa coincedence kuwa huyu member First Lady akawa ni kweli ndo mke wa mkuu wa kaya.Game Theory, Dar es salaam wamawazo kuwa waislam wamebaguliwa kwenye hii selection... Ndio maana unaona statement kama "...ohoo ngoja nipige simu kwa first lady" .. akitegemea JK na first lady i.e. waislam wenzao watawasaidia). OK?
MY TAKE: Tutetee haki bila kungalia kwanza dini ya "victim".
Nombo na kashilillah wali waive kipengele hicho ili wawabebe watu wao.Niliona kwa mujibu wa tangazo la kazi,kulikuwa na kigezo kuwa PROVISIONAL STATEMENT/RESULTS hazitakubaliwa.Sasa hao waliomaliza wiki mbili kabla ya tangazo hilo la ajira inawezekana kuwa walipata TRANSCRIPT ndani ya muda wa kuapply???Au wali_waive hicho kipengele!!
Standards zetu ziko chini sana.Sikupenda walivyowavunjia privacy waomba kazi hapo.Kuna watu wengine wana mind business zao ziwe private, sasa kibongo bongo watu washawekwa mijina kwenye migazeti ya mtandaoni.
Umepata mkuu wangu?kuna mtu nimempa email yako akutumie barua.
Nombo na kashilillah wali waive kipengele hicho ili wawabebe watu wao.
Kama ni kweli, wajiuzulu kupisha uchunguzi.
35 kati 37 walikuwa wa dini moja? wewe unadhani kuna upendeleo kwa misingi ya dini?
Du hii ni hoja kubwa zaidi!
NI NOMBO na Kashilillah ndio wakujiuzulu.Kwa kashfa hii, spika sitta awajibike, ajiwajibishe!