Bunge la Ulaya wanatuonea wivu SGR & Comedy awards!

Ni kweli wanatuonea wivu. Ila umekosea kujua wanachotuonea wivu.

Uhalisia ni kwamba wanatuonea wivu sababu kuu ni bwawa la rufiji. Limeziba mirija yao mingi ya kunyonya nchi. Kampuni za wazungu nyingi zinanyimwa mikataba ya kuzalisha umeme tena.

Hata wakati linataka kujengwa. Bunge la ujerumani lilijadili bwawa na kufikia maazimio ya kulikataza kujengwa
 
Kwa vile nyie ni wajinga hamuwezi kujibu hoja za utekaji, mauaji na kesi za kusingiziwa.
Mnaropoka kama mazuzu fulani hivi.
Nyoooooko.
 
Ni kweli wanatuonea wivu. Ila umekosea kujua wanachotuonea wivu.

Uhalisia ni kwamba wanatuonea wivu sababu kuu ni bwawa la rufiji. Limeziba mirija yao mingi ya kunyonya nchi. Kampuni za wazungu nyingi zinanyimwa mikataba ya kuzalisha umeme tena.

Hata wakati linataka kujengwa. Bunge la ujerumani lilijadili bwawa na kufikia maazimio ya kulikataza kujengwa
Hao wazungu unaowasema wanakaribishwa na wanasiasa wenyeji na kufanya partnership ya unyonyaji.
 
Ni kweli wanatuonea wivu. Ila umekosea kujua wanachotuonea wivu.

Uhalisia ni kwamba wanatuonea wivu sababu kuu ni bwawa la rufiji. Limeziba mirija yao mingi ya kunyonya nchi. Kampuni za wazungu nyingi zinanyimwa mikataba ya kuzalisha umeme tena.

Hata wakati linataka kujengwa. Bunge la ujerumani lilijadili bwawa na kufikia maazimio ya kulikataza kujengwa
Pia wanatuonea wivu kwa jinsi tunavyowateka, kuwatesa na kuwaua "nyani" wenzetu kwa sababu za siasa tu, ili tuendelee kula mahindi shambani bila bughuza. Qmmmko wewe na machawa wenzako.
 
Aisee Tanzania ako na 10 G.

Hii NI speed ya internet ambaye NASA hawana.
 
Kweli kabisa bila kusahau vitumbua vya mama.
photo_2025-02-28_14-10-29.jpg
 
Back
Top Bottom