PostGE2025 Bunge la Ulaya laishutumu Tanzania kwa machafuko na kukiuka hakika za Binadamu baada ya uchaguzi

PostGE2025 Bunge la Ulaya laishutumu Tanzania kwa machafuko na kukiuka hakika za Binadamu baada ya uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,615
Reaction score
40,161
Parliament raises the alarm on human rights in Tanzania 🚨⁣

Members of the European Parliament adopted two resolutions on the human rights situation in Tanzania following October’s elections. ⁣

• Members condemn the violent post-election crackdown, which left thousands dead or injured, with reports of mass graves. ⁣

• Parliament criticised the arbitrary detention of opposition leader Tundu Lissu and called for his immediate and unconditional release.⁣

• Members want a fair and independent investigation into killings, enforced disappearances, torture and other violations. ⁣

Parliament called for the Commission and Council to halt direct support to Tanzanian authorities, prioritising support for civil society and journalists, and consider sanctions on those responsible.⁣

Parliament also passed a non-binding resolution urging the Commission to withdraw its 2025 Tanzania funding plan over concerns about these recent democratic and human rights violations.⁣
1765449498476.jpeg
 
Spana juu ya Spana, kila mgonjwa akistuka anakutana na Sindano za tako
 
Europeans parliament look like alcoholics parliament.
 
Naweka kumbukumbu sawa, watanganyika watalimia meno ikiwa hawatachukua hatua kali za kukiondoa ikulu kile kibwengo.

Hii ninmisaa ambayo Tanganyika unaenda kuikosa kwani Tanzania hupokea misaada ya mabilioni ya shilingi kutoka Umoja wa Ulaya (EU), inayolenga sekta muhimu kama kilimo, utawala bora, elimu, na huduma za kijamii.


Thamani ya Misaada
- Shilingi bilioni 572 zilitolewa mwaka 2023, zikiwemo:
- Bilioni 455.09 kwa miradi maalum ya maendeleo.
- Bilioni 117.04 kama msaada wa moja kwa moja kwa Bajeti Kuu ya Serikali.
  • Euro milioni 166 (sawa na TZS bilioni 380) zilitolewa mwaka 2022 kwa miradi mitatu mikuu.
  • Euro milioni 425 zilitangazwa mwaka 2025 kwa miradi ya maendeleo ya miaka mitatu.

Sekta Zinazonufaika
1. Kilimo (Agriconnect Program)
- EU imefadhili miradi ya kuwainua wakulima wadogo, kuongeza tija, na kuboresha mnyororo wa thamani wa mazao.
- Kilimo ni sekta inayochangia zaidi ya 30% ya Pato la Taifa na kuajiri 65% ya Watanzania.

2. Uchumi wa Buluu (Blue Economy)
- Misaada imeelekezwa katika kuendeleza fursa za kiuchumi zinazotokana na bahari na maziwa, kama uvuvi endelevu na utalii wa baharini.

3. Sekta ya Fedha Jumuishi
- EU inasaidia upatikanaji wa huduma za kifedha kwa watu wa kipato cha chini, hasa vijijini.

4. Utawala Bora na Haki za Binadamu
- Fedha hutumika kuimarisha taasisi za kisheria, uwajibikaji wa serikali, na uhuru wa vyombo vya habari.

5. Elimu na Huduma za Jamii
- Ingawa haijatajwa kwa undani katika vyanzo vya karibuni, sekta hizi zimekuwa zikifaidika na misaada ya EU kwa miaka mingi.

Samia must go
 
Shahidi muhimu ICC wa mochwari zilizojaa miili ya waandamanaji wameshamkolimba. Kifo ni kifo.
 
Tuone vitendo sasa,matamko yanatosha!!
 
Waache blah blah wachukue hatua
Umesoma taarifa au haujui kilichoandikwa?. Lile tamko lao la kwanza lilikua na wito wa kuzuia misaada kuja tanzania. Tamko lao la sasa hapo mwisho linasema wito wa kuzuia misaada umepitishwa. Halafu wewe unasema wachukue hatua. Hatua gani unaongelea? Kwamba walete jeshi kupindua serikali au
 
Umesoma taarifa au haujui kilichoandikwa?. Lile tamko lao la kwanza lilikua na wito wa kuzuia misaada kuja tanzania. Tamko lao la sasa hapo mwisho linasema wito wa kuzuia misaada umepitishwa. Halafu wewe unasema wachukue hatua. Hatua gani unaongelea? Kwamba walete jeshi kupindua serikali au
Hujamuona Mwigulu anazunguka wuzarani kuanza kuziba mianya ili makusanyo yaongezeke kufidia hilo.pengo la misaada? Wakiweza kuziba pengo unategemea nini kwa haki za raia? Kuzuia misaada sio kuchukua hatua, kwa mtizamo wangu. Wanawajengea hawa baradhuli uwezo
 
Hujamuona Mwigulu anazunguka wuzarani kuanza kuziba mianya ili makusanyo yaongezeke kufidia hilo.pengo la misaada? Wakiweza kuziba pengo unategemea nini kwa haki za raia? Kuzuia misaada sio kuchukua hatua, kwa mtizamo wangu. Wanawajengea hawa baradhuli uwezo
Hatua wanazoweza kuchukua hao wazungu ni kuzuia misaada na kuweka vikwazo. Hawawezi kuingilia masuala ya ndani ya nchi.
 
Back
Top Bottom