Bunge la Algeria limepitisha sheria itayompa mamlaka rais kuingia vitani na Israel

political monger senior

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
1,801
5,788
Bunge la Algeria limepasisha sheria ambayo inamruhusu Rais wa nchi kama ikilazimu kuingia vitani na utawala ghasibu wa Israel kwa ajili ya kuwatetea wananchi wasio na hatia wa Palestina.

Bunge la Algeria limepasisha sheria hiyo kwa kura za 100% na hivyo kumruhusu rais wa nchi hii kuingia vitani na utawala wa Kizayuni ikibidi kwa minajili ya kuwatetea watu wasio na hatia wa Palestina.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, kufuatia maandamano ya wananchi wa maeneo tofauti duniani ya kupinga jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, wawakilishi wa bunge la Algeria wamemruhusu rasmi rais wa nchi hiyo kuingia vitani na utawala wa Kizayuni ikilazimu kufanya hivyo.

Hii ina maana kwamba, wakati wowote Rais wa Algeria atakapoona kuwa, ili kuwatetea wa Palestina kuna ulazimika wa kuingia vitani na Israel basi anaweza kutangaza vita dhidi ya utawala huo wa kibaguzi.

Zoezi la upigaji kura lilitawaliwa na nara na kaulimbiu ndefu wa kuwaunga mkono wananchi wa palestina na makkundi ya mapambano ya Palestina.

1699282329299.jpg
 
Labda Misri ya zamani lakini siyo hii ya Al sisi kibaraka wa WEST
Misri ya zamani walikuwa wabishi, na walishapigana sana na Israel, na wana mkataba na marekani wanapokea karibia msaada wa 5b za kimarekani kila mwaka kuingia kwenye bajeti ili tu wasiwasumbue waisrael. na akijifanya kupigana tu huo mpunga unakatwa panga. kwahiyo misriw amewauza wapalestina kwa pesa ya bajeti yao. miaka ya 1967 na 1973 walipigwa na israel wakaacha hadi viatu nyuma. Israel iliteka hadi jangwa lote la Sinai baadaye wakaomba po kwamba israel turudishie ardhi yetu sisi hatutapigana na wewe tena. ndio mpaka leo.
 
Ajaribu tu Muislam wa Kweli keshaambiwa na Mudy wao kuwa Myahudi na Mkristo sio marafiki hapo utakuja washasema Alahu akbar and then wanaenda mashimoni kama panya... Maandamano kibao...

Uislam upo Vtani na Uyahudi na Ukristo tokea Enzi za Mudy imeandikwa.. so Msifikiri Muislam katulia ni swala la Muda tu uzuri imeandikwa Uislam utaisha wote
 
Misri ya zamani walikuwa wabishi, na walishapigana sana na Israel, na wana mkataba na marekani wanapokea karibia msaada wa 5b za kimarekani kila mwaka kuingia kwenye bajeti ili tu wasiwasumbue waisrael. na akijifanya kupigana tu huo mpunga unakatwa panga. kwahiyo misriw amewauza wapalestina kwa pesa ya bajeti yao. miaka ya 1967 na 1973 walipigwa na israel wakaacha hadi viatu nyuma. Israel iliteka hadi jangwa lote la Sinai baadaye wakaomba po kwamba israel turudishie ardhi yetu sisi hatutapigana na wewe tena. ndio mpaka leo.
We jamaa ni muongo .
Historia Yako unasomaga wapi???
1967 six days war Israel ilivamia tu ghala la silaha na Kambi ya jeshi la anga la Misri wakalipua silaha zote with minimum casualties Kesha ndege zao zikahamisha kipigo gollan heights Syria.
1973 October Sinai ilirudishwa Misri kwa mapigano na zaidi ya wanajeshi 20 elfu wa IDF waliwekwa mateka.
Kuna sehemu pembezoni Mwa Sinai inayokaribiana na Rafah ndiyo bado ilikua inashikiliwa na Israel.
Pia Syria ilipojaribu kuivamia Israel kurudisha gollan heights ilifeli maana Israel ilitumia jeshi la anga.
Ili kuiokoa Syria na kurudishiwa kipande Cha ardhi kilochobaki Anwar Sadat aliambiwa aitambue Israel,arudishe mateka wa IDF kupitia mkataba was camp David.
Laa sivyo USA asingemuunga mkono Elsisi amuue Muhammed Morsi na kuwafuta Muslim brotherhood maana walikua ni tishio kwa Israel.
ACHA KUPOTOSHA HISTORIA
 
ok, ngoja nikuache manake akili yako ngumu kweli kweli.
 
Bunge la Algeria limepasisha sheria ambayo inamruhusu Rais wa nchi kama ikilazimu kuingia vitani na utawala ghasibu wa Israel kwa ajili ya kuwatetea wananchi wasio na hatia wa Palestina.

Bunge la Algeria limepasisha sheria hiyo kwa kura za 100% na hivyo kumruhusu rais wa nchi hii kuingia vitani na utawala wa Kizayuni ikibidi kwa minajili ya kuwatetea watu wasio na hatia wa Palestina.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, kufuatia maandamano ya wananchi wa maeneo tofauti duniani ya kupinga jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, wawakilishi wa bunge la Algeria wamemruhusu rasmi rais wa nchi hiyo kuingia vitani na utawala wa Kizayuni ikilazimu kufanya hivyo.

Hii ina maana kwamba, wakati wowote Rais wa Algeria atakapoona kuwa, ili kuwatetea wa Palestina kuna ulazimika wa kuingia vitani na Israel basi anaweza kutangaza vita dhidi ya utawala huo wa kibaguzi.

Zoezi la upigaji kura lilitawaliwa na nara na kaulimbiu ndefu wa kuwaunga mkono wananchi wa palestina na makkundi ya mapambano ya Palestina.

View attachment 2806081
Kwahiyo kesho wanaingia vitani ustaadh au🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu ndo aliyempindua Muhammed Moris ,kuna siku na yeye atapinduliwa ajisndae
Ndiye aliyewaponda ponda waandamanaji kwa vifaru zaidi kuliko alichofanya China Tianamen Square na wala hakulaumiwa na watu wa magharibi.
Na ndiyo aliyepewa fitna ya kumpindua Muhammed Morsi aliyeshinda uchaguzi na kutawala karibu miaka miwili.Angebaki madarakani Morsi Palestina ingekwishakombolewa na kusingetokea vita vya Gaza.
Nchi nyengine zipige kura kama ya Aljeria na kila mmoja akipiga padogo litakuwa pigo kubwa.Kumbuka mfadhili wa Israel ni Marekani naye yuko hoi.Hana namna ya kuja juu kiuchumi na kuendelea kuiunga mkono Israel kwa siku zijazo.
 
We jamaa ni muongo .
Historia Yako unasomaga wapi???
1967 six days war Israel ilivamia tu ghala la silaha na Kambi ya jeshi la anga la Misri wakalipua silaha zote with minimum casualties Kesha ndege zao zikahamisha kipigo gollan heights Syria.
1973 October Sinai ilirudishwa Misri kwa mapigano na zaidi ya wanajeshi 20 elfu wa IDF waliwekwa mateka.
Kuna sehemu pembezoni Mwa Sinai inayokaribiana na Rafah ndiyo bado ilikua inashikiliwa na Israel.
Pia Syria ilipojaribu kuivamia Israel kurudisha gollan heights ilifeli maana Israel ilitumia jeshi la anga.
Ili kuiokoa Syria na kurudishiwa kipande Cha ardhi kilochobaki Anwar Sadat aliambiwa aitambue Israel,arudishe mateka wa IDF kupitia mkataba was camp David.
Laa sivyo USA asingemuunga mkono Elsisi amuue Muhammed Morsi na kuwafuta Muslim brotherhood maana walikua ni tishio kwa Israel.
ACHA KUPOTOSHA HISTORIA
Wewe ndio unapotosha kwa kuandika uongo. Kama waarabu wangeshinda vita vya 1967 na 1973 Israel isingekuwepo leo na hata mkataba wa Camp David usingekuwepo na Syria asingeporwa Golan Heights.

Waarabu hawana ubavu wa kupambana na Israel na ndio maana leo unaona wapalestina wanakula jeuri yao huku waarabu na mataifa yote ya kiislamu wakiwa watazamaji.
 
We jamaa ni muongo .
Historia Yako unasomaga wapi???
1967 six days war Israel ilivamia tu ghala la silaha na Kambi ya jeshi la anga la Misri wakalipua silaha zote with minimum casualties Kesha ndege zao zikahamisha kipigo gollan heights Syria.
1973 October Sinai ilirudishwa Misri kwa mapigano na zaidi ya wanajeshi 20 elfu wa IDF waliwekwa mateka.
Kuna sehemu pembezoni Mwa Sinai inayokaribiana na Rafah ndiyo bado ilikua inashikiliwa na Israel.
Pia Syria ilipojaribu kuivamia Israel kurudisha gollan heights ilifeli maana Israel ilitumia jeshi la anga.
Ili kuiokoa Syria na kurudishiwa kipande Cha ardhi kilochobaki Anwar Sadat aliambiwa aitambue Israel,arudishe mateka wa IDF kupitia mkataba was camp David.
Laa sivyo USA asingemuunga mkono Elsisi amuue Muhammed Morsi na kuwafuta Muslim brotherhood maana walikua ni tishio kwa Israel.
ACHA KUPOTOSHA HISTORIA
wewe ndo muongo kwamba ili kuiokoa syria , rais wa misri ndo anawajibika ? kuwa serious asee hapa hakuna watoto , Misri alisaini mikataba yake yeye na sio mikataba ya kuiokoa Syria
 
Back
Top Bottom