Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

Kwa sababu wameshaona tunaona madudu yao ,tunaona nani mbabaishaji akiwa bungeni sasa hawataki tuone..
Tatizo viongozi wetu akili zao ni ndogo sana kufikiri ...2015 tutawapiga chini wote walojenga hii hoja tuchague wabunge wenye akili na uchungu wa nchi yetu ....

Sijui wakoje hawa watu akili za darasani hakuna hata kuchanganya zao pia ni ngumu....:shut-mouth:
 
Watapetape weee! Ila mwisho ya haya na matokeo yake tutawaonyesha 2015, wasidhani kufanya hivyo ni kujiandalia mazingira mazuri la hasha ni kujipalia makaa. Pia niwaambie tu kwa sasa mtaani mtu akikuita ccm ni tusi kubwa linalopelekea watu kupigana wanaita ni matusi ya nguoni
 
Nami pia nawasifu na ile zomea zomea pia inasaidia saana, kama ccm wanataka kupitisha shaeia za kijingajinga ni kuzomea hadi mwisho ili hoja isipite
 
Hoja dhaifu sana majirani zetu wameona umuhimu wa kurushwa live kwa vipindi vya bunge sisi hatuoni!!!
 
Wanaminya Katiba ya Nchi, Uhuru wa kupata Habari

BUNGE KUSITISHA KURUSHA VIKAO VYAKE.

BUNGE linatarajia kufuta utaratibu wa kurusha matangazo ya moja kwamoja kupitia televisheni kwa madai ya kukomesha vitendo vya baadhi ya wabunge kukiuka kanuni za bunge na kuleta vurugu kwa kutafuta umaarufu bila kujua kwamba tabia hiyo inaleta picha mbaya katika jamii.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Bunge Dk.Thomas Kashilila jijini Dar es salaam wakati akitoa taarifa ya mapendekezo ya kuanzisha kamati ya bajeti na kuvunjwa kwa baadhi ya kamati za bunge.

Amesema kuwa ili kuleta maadili kwa baadhi ya wabunge ambao wamekuwa wanashindwa kufuata kanuni za bunge na kutumia nafasi hiyo kwa kutafuta umaarufu kwa sasa wameomba kufutwa utaratibu wa kurusha matangazo ya bunge ya moja kwa moja badala yake watarekodi ili kuondoa hoja zisizokuwa za msingi.

Ameongeza kuwa kuna idadi kubwa ya wabunge wamekuwa wakikiuka kanuni za bunge makusudi na kusababisha kuleta vurugu bungeni wakati jamii ikiendelea kutazama mabishano yasiyokuwa na hoja za msingi.

Dk Kashilila amesema kuwa kwa sasa kuna baadhi ya kamati za bunge ambazo zimevunjwa kutokana na baadhi ya kamati hizo kuingilia katika utendaji jambo ambalo limekuwa likipoteza maana ya kamati hizo.

Hivi karibuni baadhi ya kamati ikiwemo ile ya Mashirika ya umma POAC zimefutwa na kuacha maswali mengi kwa baadhi ya wananchi juu ya hatua hiyo.
 
Hili ni tatizo la akili ndogo kuongoza akili kubwa. Huu ni ulevi wa madaraka uliopitiliza.
 
Watu wa namna ya huyu Katibu wa Bunge,Thomas Kashilila, wana sifa zifuatazo:-
1. Udokta wao ni ule wa kudesa au kupewa kama Mkuu wa Kaya.
2. Teknolojia ya habari na mawasiliano wameionea ukubwani au madarakani.
3. Hubeba madaraka ya nyumbani kwake na kuleta Kazini.
4. Kwenye familia zao watoto hawana haki ya kuwasha TV mpaka baba arudi toka kazini.
5. Wanategemewa sana na ukoo mzima mpaka kujiona wana mamlaka ya kufanya chochote au kusema lolote kama Mungu Watu.
6. Hawana exposure ya kutosha kwenye masuala ya Uongozi na utendaji yaani wamezoea mfumo wa aina moja.
7. Wamekulia katika familia zenye mfumo wa ukandamizwaji, unyanyaswaji, unyamazishwaji na ukoloni.
8. Wana mtandao wa Ufisadi wenye hofu ya kugundulika maovu yao.
9. Waoga na wenye hofu ya mabadiliko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi.
10. Wababaishaji na vibaraka wanaojipendekeza kwa watawala kwa maslahi binafsi.
 
Would somebody get rid of this square pegs in round holes?Blantant misfit.
 
m sikubalian kabisa bunge kutorushwa. ni haki yetu kujua tuliyemtuma anafanya nini. uwazi na ukweli tunaojisifia utakuwa upi?
 
Spika na wenyeviti wake wanaona aibu kwa jinsi wanavyoendesha vikao vya bunge kichama chama, badala ya kusimamia serikali, wao ndo wamekuwa vinara wa kuitetea serikali na madudu yake,ila wasifikiri watanzania wa mwaka 1947 bado ni wengi.
 
Huyu dr. Anafikiria kwakutumia masaburi na huo udokta wake ninawasiwasi
 
Wanajamvi heshima kwenu

Nimeshangazwa na Kauli ya Katibu wa bunge kuwa tunanyimwa haki ya kuona bunge kwa kuwa wameshindwa kulisimamia au tuseme kuliongoza kwani inaingiaje akilini, "Refa kushindwa kuchezesha mpira au mchezaji kushindwa kusimamia sheria na kanuni solution ikawa Mchezo uchezwe bila kuwepo kwa watazamaji.

Tatizo la spika hata mbunge au wabunge linaweza kutunyima haki ya kuona live kweli.

Wanajamvi hebu watuambie sie watazamaji tumewakosea nini mpaka wanatunyima haki ya kuona live.

Mamuzi haya yakitekelezwa kwasababu za udhaifu wa spika na hata wabunge kutosimama kwenye kanuni na bunge la kisiri likaendelea Tanzania itakuwa ni nchi Transparance pillar of democracy "Uwazi" kitaifa na kimataifa ni Minus.

Hebu tuwaelimishe watawala kwa hoja za kisheria, kikatiba 1977 na hata kibusara dhidi ya hatua hii wakitupuuza wasitulaumu.

Spika unajidhalilisha kibaya zaidi unawadhalisha wanawake na watanzania kitaifa na kimataifa.
Wanajamvi karibuni kwa hoja dhidi ya hatua za kuchukua
mods msiunganishe
 
kama bunge wanataka lisiwe live basi kuna haja ya sisi kwenda dodoma mana tuliwachagua watuwakilishe tukijua kwamba wote hatuwezi kujazana dodoma na kufanya maamuz yetu kama wananchi na nchi yetu mana ya mbunge ni kuwakilisha mawazo yetu tulio wengi sasa ni lazima tuone anavyowakilisha mawazo yetu!
 
Kwakweli hili jambo ni la ajabu sana!ni akili ileile ya kuongeza bei ya mafuta ya taa kudhibiti uchakachuaji wa petrol.
 
Kitendo Cha Katibu wa Bunge Thomas Kashilila kukomalia kusitishwa kwa urushaji LIVE wa Bunge kunanisikitisha, kunihuzunisha na kunifanya niwe na tafsiri mchanganyiko.

Kwa kifupi, watu wa namna ya huyu Katibu wa Bunge,Thomas Kashilila, wana sifa zifuatazo:-

1. Udokta wao ni ule wa kudesa au kupewa kama Mkuu wa Kaya.

2. Teknolojia ya habari na mawasiliano wameionea ukubwani au madarakani.

3. Hubeba madaraka ya nyumbani kwake na kuleta Kazini.

4. Kwenye familia zao watoto hawana haki ya kuwasha TV mpaka baba arudi toka kazini.

5. Wanategemewa sana na ukoo mzima mpaka kujiona wana mamlaka ya kufanya chochote au kusema lolote kama Mungu Watu.

6. Hawana exposure ya kutosha kwenye masuala ya Uongozi na utendaji yaani wamezoea mfumo wa aina moja.

7. Wamekulia katika familia zenye mfumo wa ukandamizwaji, unyanyaswaji, unyamazishwaji na ukoloni.

8. Wana mtandao wa Ufisadi wenye hofu ya kugundulika maovu yao.

9. Waoga na wenye hofu ya mabadiliko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi.

10. Wababaishaji na vibaraka wanaojipendekeza kwa watawala kwa maslahi binafsi.
 
One step forward two steps back. Tunarudi enzi za zidumu fikra na mawazo ya mwenyekiti.
 
km vip mkutano ujao wa chadema wataje namba ya katibu wa bunge ili tumtumie massage au tumpigie

Mbona ziko mtandaoni?

Dr. Thomas D. Kashililah.
Tellphone:
+255 (0) 26 2322696 Dodoma
+255 (0) 22 2118591 Dar es Salaam.
Mobile: +255 754 997 645.​
 
BUNGE KUSITISHA KURUSHA VIKAO VYAKE.

BUNGE linatarajia kufuta utaratibu wa kurusha matangazo ya moja kwamoja kupitia televisheni kwa madai ya kukomesha vitendo vya baadhi ya wabunge kukiuka kanuni za bunge na kuleta vurugu kwa kutafuta umaarufu bila kujua kwamba tabia hiyo inaleta picha mbaya katika jamii.

.......

Naaam na iwe hivyo!! Kwani hii itakuwa ni kuendelea kuichimbia kaburi CCM na kuipa nguvu CHADEMA!! CCM wanafunga katika goli lao wenyewe!!
 
Back
Top Bottom