mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,275
- 1,222
Sasa wamuwekee godoro kabisa Wasira maana atalala mwanzo mwisho!
teh teh teh wamemtunuku u CC
Sasa wamuwekee godoro kabisa Wasira maana atalala mwanzo mwisho!
kUMEKUCHA! SASA ISHARA ZOTE ZA ANGUKO KUBWA KWA CCM LIKO KARIBU. WANAJARIBU KUFICHA UTUPU AMBAO NI TUPU TAYARI. AMA KWELI SIKU YA KUFA NYANI MITI YOTE HUTELEZA. AKILI NDOGO INATAKA KTAWALA AKILI KUBWA? SUPIKS, NAIBU WAKE, KATIBU WAKE, WENYEVITI WOTE WAPISHE AKILI KUBWA ZIONGOZE BUNGE. WANAONA HAYA KUTAFUTA UZOEFU KWA MZEE WA VIWANGO NA KASI (STANDARDS AND SPEED) SAMWEL SITA?
katika hilo watanzania tutakosa haki ya kuhabarishwa,kama kuna watu wanavunja kanuni washughulikiwe kulingana na kanuni
Halafu "oooh, Tanzania ni nchi yenye uhuru wa habari".
Nyoooo.
Nani ataondoa hoja "zisizo za msingi"? Kwa muongozo gani?
Kama kuna wabunge wenye "hoja zisizo za msingi" kwa nini bunfe lisiache wananchi waone wabunge wao wanavyotoa "hoja zisizo za msingi" live ili kuwaelewa zaidi na kuweza kuamua vizuri zaidi kama wataendelea kuwachagua au watawamwaga uchaguzi ujao?
Kwa nini bunge linaingilia uhuru wa vyombo vya habari?
Kwa nini wanahabari wasilishitaki bunge mahakamani?
Kwa nini wabunge wasitunge sheria ya "freedom of information" itakayohakikisha bunge haliwezi kupitisha maazimio ya kidikteta kama haya?
Hayo yamesemwa na Katibu wa Bunge Dk.Thomas Kashililahiyo.
BUNGE KUSITISHA KURUSHA VIKAO VYAKE.
BUNGE linatarajia kufuta utaratibu wa kurusha matangazo ya moja kwamoja kupitia televisheni kwa madai ya kukomesha vitendo vya baadhi ya wabunge kukiuka kanuni za bunge na kuleta vurugu kwa kutafuta umaarufu bila kujua kwamba tabia hiyo inaleta picha mbaya katika jamii.
Hayo yamesemwa na Katibu wa Bunge Dk.Thomas Kashilila jijini Dar es salaam wakati akitoa taarifa ya mapendekezo ya kuanzisha kamati ya bajeti na kuvunjwa kwa baadhi ya kamati za bunge.
Amesema kuwa ili kuleta maadili kwa baadhi ya wabunge ambao wamekuwa wanashindwa kufuata kanuni za bunge na kutumia nafasi hiyo kwa kutafuta umaarufu kwa sasa wameomba kufutwa utaratibu wa kurusha matangazo ya bunge ya moja kwa moja badala yake watarekodi ili kuondoa hoja zisizokuwa za msingi.
Ameongeza kuwa kuna idadi kubwa ya wabunge wamekuwa wakikiuka kanuni za bunge makusudi na kusababisha kuleta vurugu bungeni wakati jamii ikiendelea kutazama mabishano yasiyokuwa na hoja za msingi.
Dk Kashilila amesema kuwa kwa sasa kuna baadhi ya kamati za bunge ambazo zimevunjwa kutokana na baadhi ya kamati hizo kuingilia katika utendaji jambo ambalo limekuwa likipoteza maana ya kamati hizo.
Hivi karibuni baadhi ya kamati ikiwemo ile ya Mashirika ya umma POAC zimefutwa na kuacha maswali mengi kwa baadhi ya wananchi juu ya hatua hiyo.