Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,503
- 113,616
Wanabodi,
Uchaguzi umeisha, pamoja na kuukosa urais kwa mgombea wa Chadema kwa sababu zozote zile ikiwa ni pamoja na uchakachuaji, lazima tukubali, Chadema inastahili pongezi, na imetingisha kiukweli kweli na sio kutikisa tuu kama walivyodai.
Kutoka viti 4 vya kuchaguliwa bunge lililopita, mpaka viti zaidi ya 20, ni ongezeko la asilimia zaidi ya 500%, huku ni kupaa wakati CCM imeporomoka kwa asilimia kadhaa!.
Wakati mshindi atatangazwa leo, na hakuna ubishi ni mgombea wa CCM, wana CCM wote wenye akili timamu, japo watafurahia ushindi wao, lakini kimoyomoyo, wanajua kwa dhati, ndani ya mioyo yao, Chadema sio chama cha kubezwa ila kama kawaida, mataahira wasio na uelewa wa kweli wa mambo, hawatakosena kuibeza Chadema!.
Umesema kweli PAscoWanabodi,

Mhh, hesabu gani hizo za asilimia 500, wakati ni ongezeko 4-20 + against 239-(4 +), be careful. thanks

the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks
Wewe vipi hujui hesabu kiasi hicho ua ni zao la secondari kata?Mhh, hesabu gani hizo za asilimia 500, wakati ni ongezeko 4-20 + against 239-(4 +), be careful. thanks