Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,155
- 20,332
Bunge lililokosa uungwaji mkono na wananchi walio wengi kwa muda sasa wananchi wamelipotezea na kulisusa.
Ktk mitaa mingi mikoa na wilaya watu hawamjui hata Waziri wa Kilimo ni nani wala waziri wa Maji.
Imefika mahali watu wanahamia kwenye hoja na mojadala ya mitandaoni kama Facebook, Youtube, twitter na Instagram, wanaona kusikiliza bunge linalolinda maslahi ya watawala tu na viongozi ni kupoteza muda.
Sasa kumeibuka kukurukakara nyingi tangu juzi kuanza kwa Bunge la November 2023.
Wabunge woote wanajifanya yanawaudhi yale yanayofanywa na serikali.
Ikumbukwe wananchi wamelia sana kuhusu ubadhilifu na matumizi mabaya ya fedha za serikali huku wakineemeka waliokuwa wateuliwa na wateuaji.
Hata juzi tu wamepitisha mswada wa sheria utakaowapa Malipo ya mamilioni wake za viongozi. Hivi ni Kweli Mama Salma Kikwete ana shida na hela au shida na maji kama yule bibi wa Kule Lindi Mtaa wa Kariakoo??
Hata hivyo kuna nadharia mbili zinatokana na fujo na makelele wanayopiga sasa huko Bungeni dodoma.
1. Huenda wamekaa kikao wakakubaliana waje kupiga mikwara bubu ili ionekanw ccm inafanya kazi.
2. Watu wachache ktk kundi la wengi wafuja mali za umma wamezidiwa kete kwenye upigaji sasa wanagombania maslahi....hao akina Mpina na Msukuma ndio hao hao juzi kwenye DPW hatujaona wakitetea maslahi ya Nchi.
3. Ni Hofu ya uchaguzi sasa kila mbunge ispokuwa Jenista( ana hati miliki) ana hofu ya kurudishwa na Wananchi, sasa wameona japo wazuge ili kuhadaa wananchi wasiojielewa.
Nyie wabunge mnaopiga kelele huko mjengoni mnapoteza muda na nguvu nyingi tumeshawagundua
Endeleeni kuungana na wapigaji tu. Mle mshibe, msaze mfanye anasa na baadae hizo mali mwende nazo Mbinguni na Mtazikwa nazo.
kwani shida iko wapi?