Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,338
Anataka kutambikaKabila la nini sasa?
Anataka kutambikaKabila la nini sasa?
we ni kichaa unajua.. hahaaaaaaa
sawa kichaa mwenzangu
yaani wewe ni wa kwenda boarding kabisaaaa
shukrani mkuu, inamaana kumbe gunpowde huwa ndani ya risasi?SMG: panga risasi kwenye magazini kisha pachika magazini sehemu yake.
kuna handle fulani ipo ubavuni mwa bunduki unaishusha chini kisha unakoki mashine.
weka kidole kwenye trigger/kifyatulio na ukivute nyuma.
wakati unakoki risasi moja inakaa kwenye bomba la kutokea. ulipofyatua kuna vidude vinalivuta ganda la risasi na kulitoa nje wakati risasi yenyewe inasukumwa nje kwa nguvu ya mlipuko wa baruti baada ya kugongwa kwa na kidude flani kiswahili wanakiita nyundo. hapo risasi itatoka spidi tena ikiwa ya moto sababu ya huo mlipuko..
baada ya kukubaliwa kumiliki bunduki na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa anaoishi ndipo atapewa mafunzo ya namna ya kutumia bunduki na yanatolewa na vyombo ya ulinzi na usalama(hapa nazungumzia majeshi ambayo ni jwtz, tpf, tps). kwenye mahojiano yao ukikiri unajua kutumia bunduki arooo umekwenda na maji.. utaeleza uipojifunzia unless uwe mtumishi wa majeshi au ulipita national service.
,we Bado haujaivaa kama unamfundisha jambazi jeee
mkuu hilo jeshi la TPF lipo hapa tanzania? au anamaanisha TPDF
TPF - Tanzania Police Force
TPS - Tanzania Prisons Service
King'asti mbona sikuoni huku?
Nilikusoma ndugu, ila sikukujibu. I love guns for hunting na sio for personal protection.
Ila ushauri nenda kwenye shooting training kwanza. Tembelea duka la silaha (tanganyika armies ama mzinga morogoro), wagakupa maelezo mafupi. Then watakuelekeza wapi pa kufunzwa.
Narudia, siamini kwenye kutumia silaha kujilinda.
we utakua mjeda mkuu... ebu tiririka maana unaona hali ya Amboni Tanga si shwari sana
Mm sio mjeda mkuu ila hvi vitu navijua vzr. Mkuu bunduki haina ugumu kuitumia ww unatakiwa kucheza na self(usalama),cocking handle, na trigger, na nguvu za mikono jinsi ya kuimiliki kwasababu mtoko Wa risas unamtikiso.