Bunduki inafanyaje kazi?

Bunduki inafanyaje kazi?

Nilikusoma ndugu, ila sikukujibu. I love guns for hunting na sio for personal protection.
Ila ushauri nenda kwenye shooting training kwanza. Tembelea duka la silaha (tanganyika armies ama mzinga morogoro), wagakupa maelezo mafupi. Then watakuelekeza wapi pa kufunzwa.

Narudia, siamini kwenye kutumia silaha kujilinda.

Unaamini nini zaid my dada nami nijifunze maana sasa nategemea mbio tu!!!
 
Thanks for Info ,im in a process of purchasing a pistol of at least 12 bullets in one magazine
 
Hongera na pole pia kwa uamuzi wako!!!!
Ila kwa nini uanze na namba ya risasi na sio vitu vingine?!!!
Hebu fika kwa wauzaji (Tanganyika Arms au Mzinga) au kituo cha polisi omba mtaalamu upate dondoo za silaha halafu utaamua kwa busara huku ukiwa na taarifa sahihi zaid
 
I need a military pistol and i have acquired a lot of info i just need training for finish my requirement from military personnel.My age is 40 and i travel a lot for my business
 
I need a magazine of many bullets for me to practice how to make a perfect shoot from a distance and when the need arise
 
Ok if you are saturated sir. . . . . .But what is a military pistol anyway!!!!
 
ukishapata kibali cha umiliki ndo unapashwa kujifunza namna ya kutumia

acha kutuingiza chaka.. hakuna pistol ya kubeba risasi 12.. pistol magazine yake inachukua risasi 8 only

hahaaaaaa... nilikua nakufa alone kwa kucheka.. bora umensaidia kuuliza mkuu
 
If you are real serious please get a well knowledgeable body for precise theory . . . . .What i see here is a compulsion of which is not very gud for gun business!!!!
 
Matege naogooa sana nikisikia mtu anataka bunduki. . . . .Naingia hofu sana sijui kwa nini!!!!
Magazine zipo mpaka 15rds both 7.65mm na 9mm
 
Last edited by a moderator:

picha pliz..

silaha zinasaidia sana mkuu hasa katika suala la ulinzi wako na wanaokuzunguka..
 
Last edited by a moderator:
Ukishaijua na kujua kuna jela basi ushaiva na wala sio rahisi kuingia jela kwa kosa hilo tena

i know myself ndo mana sitakiiii.. am easily tempered na i do things badae najutia.. sitaki
 
Check browning Model then continue with ure laugh ,u think im joking like a baby
 
picha pliz..

silaha zinasaidia sana mkuu hasa katika suala la ulinzi wako na wanaokuzunguka..
Picha ya nini kaka mkubwa angalia Cz75 na 83 ongeza Glock 17 then endelea mkuu. . . .
 
ukishapata kibali cha umiliki ndo unapashwa kujifunza namna ya kutumia

acha kutuingiza chaka.. hakuna pistol ya kubeba risasi 12.. pistol magazine yake inachukua risasi 8 only

hahaaaaaa... nilikua nakufa alone kwa kucheka.. bora umensaidia kuuliza mkuu

ila kuna pistol moja inaitwa
Norinkho imetengenezwa china
inabeba risas 11 ndani ya
magazine.....
Kwa wajuzi wa vyombo hivi
ukishapachika magazine unakoki
unaipeleka chemba risas moja
kwahyo ndan ya magazine znabaki
risas 10 halafu unaongeza nyingne
znakuwa 11 ndan ya magazine na
ile iliyokuwa chemba inakuwa ya
12. Labda jamaa alikuwa
anamaanisha hvyo
 
Nimetosheka na maelezo ,siku njema .I just need to get Info not to waste my time joking,,,,Thanks
 
Back
Top Bottom