ila kuna pistol moja inaitwa
Norinkho imetengenezwa china
inabeba risas 11 ndani ya
magazine.....
Kwa wajuzi wa vyombo hivi
ukishapachika magazine unakoki
unaipeleka chemba risas moja
kwahyo ndan ya magazine znabaki
risas 10 halafu unaongeza nyingne
znakuwa 11 ndan ya magazine na
ile iliyokuwa chemba inakuwa ya
12. Labda jamaa alikuwa
anamaanisha hvyo
Nimetosheka na maelezo ,siku njema .I just need to get Info not to waste my time joking,,,,Thanks
Matege inaonesha ww sio mtu mzuri,,, kwann unawachukia askari?
Kama hali yako ndio hyo ni bora usimiliki kabisa kwasababu utajiharibia futur yako bure. Ww miliki sime na manati tu kaka
Zipo jamani 15rds na ukifanya hivyo unakuwa na 16. . . . .na kwa nini uhangaike wakati you can have an extra mag with same amount of pelets by your waist???!!!!
Nimetosheka na maelezo ,siku njema .I just need to get Info not to waste my time joking,,,,Thanks
ndo nazisikia kwenu... itabidi ni google mkuu
kiruuuuuu.. jamani mi ni ke mkuu. manati ninayo mkuu
ikiwa cocked na risasi ikiwa chemba si inakuwa siyo salama? i mean inabaki ku pull trigger tu. ni salama kuihifadhi hivyo ?ila kuna pistol moja inaitwa
Norinkho imetengenezwa china
inabeba risas 11 ndani ya
magazine.....
Kwa wajuzi wa vyombo hivi
ukishapachika magazine unakoki
unaipeleka chemba risas moja
kwahyo ndan ya magazine znabaki
risas 10 halafu unaongeza nyingne
znakuwa 11 ndan ya magazine na
ile iliyokuwa chemba inakuwa ya
12. Labda jamaa alikuwa
anamaanisha hvyo
usiunge dots mkuu.. piga mstari na rula ikibidi kabisaaaa.. ila umeingia chaka
chaka lenyewe la sungura
Mkuu mm najua lakni naogopa askari kuna hii kitu inaitwa online patrol
polisi aache kupokea rushwa apoteze mda hpa??we utakua polisi lazima
ndio maana nikasema kwa wazoefu. risas ikiwa chemba hapo ni kuwa makin na usalama. ukifunga usalama inakuwa selfikiwa cocked na risasi ikiwa chemba si inakuwa siyo salama? i mean inabaki ku pull trigger tu. ni salama kuihifadhi hivyo ?
umesahau huz gun au bunduki kichaa.. hii ni zaidi ya automatic maana hata ukiidondosha bahati mbaya inapiga mpaka risasi zote ziishe... inaweza kukuua hata wewe mbebaji usipokuwa makini. kuna 14, 12 na Semi Automatic Riffle (SAR). Hizi ndizo zinatumika kwenye magwaride. then kuna long range hizi bunduki risasi zake ni mabomu.. nikikumbuka nyingine nitakwambia.
ndio maana nikasema kwa wazoefu. risas ikiwa chemba hapo ni kuwa makin na usalama. ukifunga usalama inakuwa self