Bundi wa Gaddafi ahamia kwa Museveni Uganda

mtokambali'z

New Member
Sep 9, 2011
2
0
Ama kweli hali ni tete kwa viongozi wa afrika na wanaharakati!!! Hii ni baada ya wanaharakati wa vyama vya upinzani uganada kuamaua kufanya mkutano wa kuadhimisha mapinduzi ya nchi za africa kaskazini tunisia, Misri na libya kwa madai kuwa yanayotokea huko ndiyo wanayotakiwa kuyafanya hata wao kwani hata musen ni dictator, hivyo wameapa kupambana na kuhakikisha wanamng'oa dictator huyo.

Ijapo mkutano huo ulivunjwa na police kwa madai uwanja wa mkutano haukuwa halali na ulikuwa kwenye barabara kuu.

source BBC News!!!!
 

ndenga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,783
1,288
Kwa upande wangu namshauri Mu7 aanze kuandaa exit plan asije akasababisha historia ya Africa Mashariki ikabadilika.
 

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,038
Waganda waweza tangulia lakini kama wamechelewa kwani jamaa amekaa pale kama Papa,m7 amemuandaa mtoto wake major Kainerugaba ambaye amepewa cheo hicho na Gaddaf, kaka yake Salim Saleh anamiliki jeshi (SARACIN) ambaye hajui ubovu wa M7 anaweza mtetea lakini is a dirty guy,rushwa,extrajudicial killings,murder nani dictator.

VIVA FDC, DP, UPC, CONSER VATIVE and JEMA.MUSEVENI AGENDE TUMUKOYE!!
 

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,038
waganda wanatuzidi uwezo wa kuelewa lazima watangulie kwa hili

I wish to witness the demise of political thugs, anarchism,totalianism,authoritarianism, political egoism,plutocracy and military regimes in Uganda,Rwanda,Tanzania.DRC,Malawi,Zimbabwe,Zambia,Somalia,Sudan before I quite this savage planet!!
 

khayanda

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
247
25
chekundu chekunduuuuu, chekundu x2 ndivyo mambo yalivyo hapo. hata kama hawaelewi mambo lakini mabadiliko yaja kwa mstari pia, mwenzako akinyolewa, nawe tia maji usijekwanguliwa hovyo
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom