Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 237
Hili ni swali ambalo nimewasikia akina mama hapa mtaani wakibishana juu ya jibu la swali hilo. Mabishano ya akina mama hao yalianza mara tu baada ya kumsikia ndege huyo akilia jirani na nyumba zao wanazoishi. Wadau tusaidiane juu ya hili tuwape majibu mwafaka akina mama hao.!