Bundi analia juu ya mpapai wangu

Mimi enzi hizo home alikuepo bundi kila siku anakuja kulia mbele ya chumba changu kulikua na nyumba imetolewa paa na madirisha.basi kila siku anapanda pale.mpaka leo siamini kama alikua ni bundi tu
Hakuna aliye rip?
 
Yaani bundi tu unaenda hadi serikali ya mtaa?mbona kunguru akilia huendi?
Huyu amekuja usiku, anapiga kelele mtaani pia sijui anataka nini ila kunguru anaonekana mchana akilandia landia mabaki ya chakula
 
Mimi enzi hizo home alikuepo bundi kila siku anakuja kulia mbele ya chumba changu kulikua na nyumba imetolewa paa na madirisha.basi kila siku anapanda pale.mpaka leo siamini kama alikua ni bundi tu
Alikuwa ana rangi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…