Bundi aingia ndani ya ukumbi wa Bunge leo asubuhi

1548753633428.png

Naleta bundi wangu!
Huyu ukimwona huponi!!!!
 
Kwa sababu hao wa mchana huwa anawatuma yeye, ila kwa Lissu walishindwa usicheze na Mungu aisee
 
Inawezekana kuna Panya au Popo amefia kwenye dari humo Bungeni. Lakini Spika wetu kwa kutindikiwa ufahamu Wa mambo nje ya Kanuni za Bunge,yeye kakimbilia kwenye imani za "Vibuyu".
Ni majanga mkuu
Yaani kiumbe anaetafuta riziki yake wanahusisha ushirikina moja kwa moja


Sent from my SM using Tapatalk
 
kauli yake haina tofauti na ile ya....

Kama umetumwa kamwambie sijamkuta
 
Swali la msingi kujiuliza ameingiaje? Bundi ni ndege kama ndege wengine tu lakini kwasababu wabunge wengi wamezoea tunguli na pengine hata humo kwenye viti vyao kuna tunguli ndiyo maana hofu imeingia hata kuleta uzi kama huu hapa!

Tuambie kimya nini au huyo bundi alikuwa anaimba/lia kiasi cha wabunge kushindwa kusikilizana?
 
Swali la msingi kujiuliza ameingiaje? Bundi ni ndege kama ndege wengine tu lakini kwasababu wabunge wengi wamezoea tunguli na pengine hata humo kwenye viti vyao kuna tunguli ndiyo maana hofu imeingia hata kuleta uzi kama huu hapa!

Tuambie kimya nini au huyo bundi alikuwa anaimba/lia kiasi cha wabunge kushindwa kusikilizana?

Nakumbuka ile story ili trend sana wakti wa Usupuka wa Mzee wa Standard n' Speed marehemu Sammy Sitta.
Kunambunge mmoja kutokea pande za Kanda ya Ziwa alionekana kwene CCTV akinyunyizia dawa za KICHAWI...Sijui lile sekeseke liliishia wapi...!!!
 
Very interesting, nimecheka hasa. Bahati mbaya sio mtaalam wa hili eneo, ila tuombe huruma ya mungu.
 
CCTV camera hazikumwona huyo Bundi au zimesha ng'olewa na wazee wa CCM?
Kama ni mambo ya kishirikina CCTV camera hazisense kabisa pamoja na kusetiwe iwe sensitive to motion.
Tukiambiwa bibadamu wote pua zimeangalia chini na tutarudi mavumbini, tunazidi kuziba masikio na kuonea wengine.
 
More than 90% ya Wabunge wameiingia Bungeni kwa IMANI ZA KISHIRIKINA including the presida JIWE...!!
Kama kuna mtu anabisha ajifanye kama anajikuna....!!!
Hilo halina ubishi na hajikuni mtu hapa

Nakumbuka aliepita pia wakati anateua PM alibadilisha kiti ambacho aliwekewa akalie you know why
Bisha sasa

Sent from my SM using Tapatalk
 
Itabidi tuandae kikao ambacho sio rasmi cha wachangiaji humu, nahisi wengi ni comedians, itakuwa burudani ya mwaka.
 
Back
Top Bottom