Tetesi: GE2025 Bumbuli: January Makamba aaga Mashindano, ashindwa kupenya 3 bora

Tetesi: GE2025 Bumbuli: January Makamba aaga Mashindano, ashindwa kupenya 3 bora

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Maisha ni Kitendawili, huyu aliingia 5 bora ya mbio za Urais 2015.

Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Usihadaike mkuu 'Erythro', hawa sasa ni waarabu wajuanao.
Huyo aliambiwa "alipigwa kikofi". Huyo mPiga kikofi akisha rudi kwenye kiti kwa njia haramu, ni hawa hawa akina January watakaoteuliwa kushika ubunge na kuewa teuzi mbalimbali.

Hakuna lolote la kufurahia katika haya yote yanayoonekana yakifanyika sasa hivi.

Haya ni mazingaombwe yanayowalaza waTanzania akili.
 
Back
Top Bottom