Tetesi: GE2025 Bumbuli: January Makamba aaga Mashindano, ashindwa kupenya 3 bora

Tetesi: GE2025 Bumbuli: January Makamba aaga Mashindano, ashindwa kupenya 3 bora

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wabongo wengi kama huyo wanaongozwa na chuki binafsi.

Yani hata sehemu ya kumkataa kiongozi kwa kujenga hoja za kifalsafa, za kisera, za kisiasa, wao wanashindwa kujenga hoja wanapelekwa na chuki binafsi, ambazo hata hawajui kwa nini wanazo.

Huyo jamaa kawa open tu lakini wengi ndio wako hivyo.

Juzi kuna mtu kamuanzishia Samia uzi anamsema vibaya kwa nini rais anacheza taarab.

I was like, is this the worst you can say about this president?

Kucheza taarab? Really?

Madudu yote ya Samia huyaoni, unaona kucheza taarab ndiyo issue ya muhinu kabisa?
Anamchukia lakini hajuwi kwanini anamchukia 😄

Ova
 
1752341008159.jpeg
 
Kuna uwezekano walidukuliwa tena wakimteta "Mkulu" kama enzi za Magu! Umbea ni kama Cocaine, unapumzika tu hata usutwaje!!

NB:Huyu wa sasa hana neno msamaha kwenye kamusi yake.

Nape katoboa? Ndiyo maana Makamba Sr hasisiki tena!
 
Maisha ni Kitendawili, huyu aliingia 3 bora ya mbio za Urais 2015.

Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
No reform no election tumeweka kando sasa tuna imba wimbo mmoja na CCM? nasema daily humu Lisu anapaswa kuachana na siasa akale Bata Ubelegiji, na sio kupigania watu ambao kumbe wao wana itikadi tofauti.
 
Wale vijana waliokataa buku 10 zake kama takrima kwao kwa madai ya kwamba Bumbuli hakuna barabara wamemponza,kuanguka si kushindwa,aangalie wakati mwingine
 
Back
Top Bottom