Tetesi: GE2025 Bumbuli: January Makamba aaga Mashindano, ashindwa kupenya 3 bora

Tetesi: GE2025 Bumbuli: January Makamba aaga Mashindano, ashindwa kupenya 3 bora

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Maisha ni Kitendawili, huyu aliingia 5 bora ya mbio za Urais 2015.

Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
January Makamba ni mjumbe wa CC.

Hiyo iliwekwa kama akiba.

Labda mwenyekiti ashikwe sikio na wazee iwe vinginevyo.
 
Atachomekwa kwenye ubunge wa kuteuliwa na kupewa uwaziri. Naona hiki kipengele kwenye katika kuwa "uwaziri ni lazima uwe mbunge kipigwe chini ".
Hicho kipengele (ubunge wa kuteuliwa) kiliwekwa kama akiba akiba kwa makusudi.

Naunga mkono hoja kiondolewe ili kuondoa kuzunguka kanuni "Circumvention".
 
January Makamba ni mjumbe wa CC.

Hiyo iliwekwa kama akiba.

Labda mwenyekiti ashikwe sikio na wazee iwe vinginevyo.
Kuna wanaccm utasikia wanakwambia fulani ni mNEC, lakini cha kusikitisha wao wenyewe hawajui hata kirefu cha hiyo NEC nini, wengi hudhani hii NEc ni kama ile ya Tume ya Uchaguzi
 
Kuna wanaccm utasikia wanakwambia fulani ni mNEC, lakini cha kusikitisha wao wenyewe hawajui hata kirefu cha hiyo NEC nini, wengi hudhani hii NEc ni kama ile ya Tume ya Uchaguzi
Na kuondolewa NEC ni lazima kuwe na sababu.

Kubakia na ujumbe wa NEC kwampa nafasi ya kuendelea kuwa na maamuzi mengine kama mjumbe.
 
Inamaana safari ya Pinda huko ilikuwa na maelekezo?

Ila sio rahisi kuachwa nje ya mfumo.
 
Back
Top Bottom