Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,089
- 51,407
🤣😂Wazuri hawafi.........na wazuri...hawapendwi na wajumbe
🤣😂Wazuri hawafi.........na wazuri...hawapendwi na wajumbe
🤣Katakua kanawaka hukooo
Hivi ninyi mbona hamna Shukuraniiiii????
Ili aseme wabaya ndiyo wafaoAnasubir kuwaroga wajumbe,
Rafiki wa MangeMaisha ni Kitendawili, huyu aliingia 5 bora ya mbio za Urais 2015.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Wewe ndo unafaa??Huyo kijana hatufai katika Jimbo letu
Ninahamu ya kujua piaMorogoro Hali ipoje hasa manisapaa
KwaniniNinahamu ya kujua pia
Mimi ni nimekulia pale ni nyumbani pia, wazazi na familia yangu kubwa inaishi hapo mkuu.Kwanini
MACCM yana wenyeweMaisha ni Kitendawili, huyu aliingia 5 bora ya mbio za Urais 2015.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
MIjana TAnesco alikula mpaka nje ya kamba,kuna uwezekano alikuwa apeleki posho.Mama anifikirie na mimi awamu hii nile kwa urefu wa kamba yangu.
Sasa itakuaje?Maisha ni Kitendawili, huyu aliingia 5 bora ya mbio za Urais 2015.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
BREAKING NEWS 🚨Maisha ni Kitendawili, huyu aliingia 5 bora ya mbio za Urais 2015.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Alimfanyia figisu mzee shelukindo na yeye sasa kawekwa bench, mzee wa watu karudi bumbuli kaamua kujiajiri kafungua bar yake kakubali kuna maisha baada ya ubungeMaisha ni Kitendawili, huyu aliingia 5 bora ya mbio za Urais 2015.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Hivi january ni kijana?MAma Samia amuangalie huyo kijana. Bado anatufaa serikalini.
Ni aibu sana mtu kukataliwa kwenuJanuari atarudishwa tu mama alishamsamehe
😆😆😆😆BREAKING NEWS 🚨
Kibaraka wa CHADEMA ndani ya CCM Peter Msigwa, ameliwa kichwa na wajumbe wa kamati ya siasa ya CCM wilaya Iringa, katika hatua za mchujo.
Ategemee huruma ya Mkoa na Taifa.
Here we go!!
Wanamuita kibaraka kisa ubunge😂😂😂😂View attachment 3403703
Tusubiri mbelekoSasa itakuaje?
Najua na yule dogo RK aliyesumbuliwa kuchukua fomu,namjua vzr sana ,ana watu nyuma,anamtoa JMBaba Ake hawezi kukubali kirahisi
Unapoambiwa upinzani mkubwa utatoka ndani muwe mnaelewa unabii😂😂