Tetesi: GE2025 Bumbuli: January Makamba aaga Mashindano, ashindwa kupenya 3 bora

Tetesi: GE2025 Bumbuli: January Makamba aaga Mashindano, ashindwa kupenya 3 bora

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Si tumekubaliana hakuna uchaguzi, na wala hatutaongelea mambo ya uchaguzi.....
 
Kuna uwezekano walidukuliwa tena wakimteta "Mkulu" kama enzi za Magu! Umbea ni kama Cocaine, unapumzika tu hata usutwaje!!

NB:Huyu wa sasa hana neno msamaha kwenye kamusi yake.

Nape katoboa? Ndiyo maana Makamba Sr hasisiki tena!
Wazuri hawafi😁
 
🤣 uchaguzi wa mwaka huu unaweza kuwa wakipekee sana haijawahi tokea, nadhani hata wao nao wanatamani reforms ndani ya chama
 
Back
Top Bottom