Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

Zitto mjaze mimba na baba Yake ili heshima iwepo labda anakuonea wivu kumjaza mimba mtoto wake bila yeye kujazwa.
 
Tanzania ni pure jungle, Maisha ni rule of the jungle kama vile masokwe na Nyani wanavyoishi, ukitaka kuthibtisha kwamba asili ya Binadamu ni Masokwe na Nyani njoo Tanzania, Masokwe yenye nguvu ndiyo yanayochukuwa wanawake wote kwa kuwapiga masokwe dhaifu, hata Tanzania ni hivyo kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuoa lkn wengine wanachukuwa wanawake wote ingawaje wameshaoa na wana familia, angalia Mbowe, Zito kabwe &Co. zero morals, ni kama Wanyama tu, ...

Tafuta moja ya vitu hivi au vyote kwa pamoja (hela au madaraka) ili na wewe uweze kufaidi maua mazuri ya dunia hii. Kulialia hakutabadili chochote.
 
Bado sijaelewa hizi comment,Kwan kuna nini

Kuna mzee mmoja hivi na mwanaye kutoka chama kimoja hivi tawala cha kisiasa nchini Puerto Rico 'wameteuliwa' kuwa Wabunge wa 'Viti Maalum'

Sasa kuna kijamaa kimoja na ambacho ni 'Kibunge' cha upinzani na kinaonekana kama 'ki snitch' fulani hivi na Viongozi wa kile chama cha yule 'Mzee na Mwanaye', si kikatumia madawa ya mitishamba ya kwao na kumlevya yule binti na hivyo kujimilikisha!

Baada ya kujimikilisha, kile kibinti hakisikii na wala hakiambiliki kiasi cha kuhatarisha ugali wa mzee wake. Kibinti kimeshutumiwa wazi wazi na Mwenyekiti kwa kutoa siri za kambi kwa hicho kijamaa chake, lakini kibinti hakisikii na wala hakiambiliki! Hivyo 'mzee' wa hicho kibinti, kimekosa namna nyingine, isipokua kumkana hadharani huyo mkwe wake!

Umeelewa sasa? Kama hujaelewa tena, basi muulize huyu member Zitto, yupo humu jukwaani.
 
Hii mijitu ya Ukawa ina tamaa sana. Zito si ana mke?mbowe si an mke??chek walivyo

Wanaume wote tuna tamaa! Kuwalaumu Zitto na Mbowe ni kuwaonea tu. Kama vipi tulaumiwe wanaume wote tu duniani. Huko Ccm ni nani ambaye ana sifa za malaika?
 
Kuna mzee mmoja hivi na mwanaye kutoka chama kimoja hivi tawala cha kisiasa nchini Puerto Rico 'wameteuliwa' kuwa Wabunge wa 'Viti Maalum'

Sasa kuna kijamaa kimoja na ambacho ni 'Kibunge' cha upinzani na kinaonekana kama 'ki snitch' fulani hivi na Viongozi wa kile chama cha yule 'Mzee na Mwanaye', si kikatumia madawa ya mitishamba ya kwao na kumlevya yule binti na hivyo kujimilikisha!

Baada ya kujimikilisha, kile kibinti hakisikii na wala hakiambiliki kiasi cha kuhatarisha ugali wa mzee wake. Kibinti kimeshutumiwa wazi wazi na Mwenyekiti kwa kutoa siri za kambi kwa hicho kijamaa chake, lakini kibinti hakisikii na wala hakiambiliki! Hivyo 'mzee' wa hicho kibinti, kimekosa namna nyingine, isipokua kumkana hadharani huyo mkwe wake!

Umeelewa sasa? Kama hujaelewa tena, basi muulize huyu member Zitto, yupo humu jukwaani.
Hahaaa noma,nimeelewa mkuu
 
Ukishazaa binti basi mkwe hakwepeki...awe katoa mahari, hajatoa, hutaki ama unataka - Basi atakayekuwa na mahusiano naye ndiye MKWEO.
 
Tafuta moja ya vitu hivi au vyote kwa pamoja (hela au madaraka) ili na wewe uweze kufaidi maua mazuri ya dunia hii. Kulialia hakutabadili chochote.

Masokwe na Nyani ndio wako hivyo, binadamu ameumbwa na consciousness, Mnyama hana na hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya Binadamu na Mnyama, kulingana na maelezo yako unaweza hata kulala na mama yako au mtoto wako maadamu na unaweza kumhonga hela na yeye ana matatizo anahitaj hela itabidi akubali, ...
 
Tanzania ni pure jungle, Maisha ni rule of the jungle kama vile masokwe na Nyani wanavyoishi, ukitaka kuthibtisha kwamba asili ya Binadamu ni Masokwe na Nyani njoo Tanzania, Masokwe yenye nguvu ndiyo yanayochukuwa wanawake wote kwa kuwapiga masokwe dhaifu, hata Tanzania ni hivyo kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuoa lkn wengine wanachukuwa wanawake wote ingawaje wameshaoa na wana familia, angalia Mbowe, Zito kabwe &Co. zero morals, ni kama Wanyama tu, ...
Kaka mbona unaandika kwa hisia za wivu, hawa bila hela, werevu, smartness, maneno matamu utaishia kuwaangalia tu!! lah kupata wapika chapati maana Mungu kaumba levels. !!

Na ndiyo maana wanawake wapo wengi ili wa level yako ukiwataka usiwakose hata kama ukitaka 3 wa mafungu wewe tu.
 
Masokwe na Nyani ndio wako hivyo, binadamu ameumbwa na consciousness, Mnyama hana na hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya Binadamu na Mnyama, kulingana na maelezo yako unaweza hata kulala na mama yako au mtoto wako maadamu na unaweza kumhonga hela na yeye ana matatizo anahitaj hela itabidi akubali, ...
Maisha ya kimapemzi kwa mwanadamu ni private issue, ukiona mwanaume anakaa kumwongelea wanaume mwenzake kuhusu mahusiano aliyonayo basi ni udhaifu mkubwa!!

Hiyo kazi wamepewa wanawake!!
 
Masokwe na Nyani ndio wako hivyo, binadamu ameumbwa na consciousness, Mnyama hana na hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya Binadamu na Mnyama, kulingana na maelezo yako unaweza hata kulala na mama yako au mtoto wako maadamu na unaweza kumhonga hela na yeye ana matatizo anahitaj hela itabidi akubali, ...

Sasa mbona tunaandikia mate na wakati wino upo? Wewe pambana tu kutafuta HELA au MAMLAKA halafu uone na wewe utakavyogeuka na kuwa SOKWE pasipo kujitambua.
 
Back
Top Bottom