Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

Anayeaibishwa sana si Zitto ni huyo dada Bulembo, tatizo la kuchanganya siasa na familia. Nawe Dada Bulembo unamsikia dingi kuwa wewe mambo yako unayafanyia vichakani umri huo!
Maisha ya kichawi yanaendaga kichawi
 
Kwani kuoa mkristo ni dhambi bwashee?

Mzee Makamba alikuwa anaingia hadi Kanisani na maisha yaliendelea katika uislamu wake!
Ni kweli sio dhambi mkuu..ila kwa muislamu yakini haoi mkristo..atamsilimisha kwanza..ndoa za serikali hazitambulikani kanisani wala msikitini hata kwa baniani!

Zile ni mbadala.. ..

Lakini kubwa ni maamuzi na mapenzi... ...

Wengi..hata..Lipumba..Majaliwa nk..ni vile vile..
 
Mkuu nafikiri hiyo inaonekana ni tatizo kwa sababu hao jamaa ni wawakilishi wa jamii lakini ukiangalia katika uhalisia wanayofanya hao jamaa ndiyo yanayoendelea huku mtaani lazima ukumbuke hao jamaa nao ni binadamu tu kama sisi matamanio hisia haviwezi kuondoka eti kwa sababu wao ni viongozi..
 
Sasa kama hajaenda kujiambulisha nyumbani ataitwa vipi mkwe anaye tambulika? Naye binti hata kama mapenzi hayachagui lakini una angalia basi hata staha ona sasa!
 
Mdada kufanya mapenzi hovyo hovyo wewe ndiye unayedhalilisha familia yako. Mimba za hovyo hovyo wazazi hawazithamini hata kidogo. Wazazi wengi hufukuzia mbali wadada kwenye tabia kama hizo.
Kakikosa ubunge ndiyo katajifunza nini maana ya maisha
 
mzee kachanganyikiwa...mwishowe atasema hamtaki zito kuwa mkwewe kwasabb ana kibamia, gafla atakuwa amesahau kibamia hichohicho ndicho kimemtotolesha mwanae!.
 
Ni kweli sio dhambi mkuu..ila kwa muislamu yakini haoi mkristo..atamsilimisha kwanza..ndoa za serikali hazitambulikani kanisani wala msikitini hata kwa baniani!

Zile ni mbadala.. ..

Lakini kubwa ni maamuzi na mapenzi... ...

Wengi..hata..Lipumba..Majaliwa nk..ni vile vile..
Mambo mswanoo
tapatalk_1592515315073.jpeg
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom